Kuongoza Chama kinaitaji hekima ya juu na busara

ALLEN KP

Senior Member
Mar 28, 2017
118
31
Waangalieni Hawa nao ndiyo wanakizika chama. Washazika kikundi cha wapiga kelele (UKAWA) ambacho wala hakitambuliki na hakipo hata kikatiba.
Baada ya haya mazishi kinachofuata n mazishi ya walopokaji na wasema hovyo wenye kupinga hata vitu vizuri(CHADEMA)
image-2017-03-29-22-09-27.jpg
 
Siasa majitaka, ukiaa pekeyako ukawaza jinsi Prof alivyotoka CUF na kurudi kwa mgongo wa msajiri utaona who is behind the move. Kisha ruzuku ilivyotoka kupitia akaunti tofauti.
Nawaza tu mbona mliweza Zanzibar 2015, hivi kumbe faru John hakuuzwa kama jamaa alivokua anataka chukua ujiko?
Mchanga umefika kwa mkemia mkuu au hadi Pretoria tena....?????
 
Najaribu kukumbuka tu " hivi wale mashujaa wetu Mirambo na Isike hawakushiriki kuwauza waafrika wenzao utumwani kweli?"

Hapo ndipo namtafakari le-profesale (maji hayasahau baridi)
 
Back
Top Bottom