Kuongezeka kwa wanaume tegemezi ni hatari kwa taifa letu

queen of the jungle

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
228
429
Miaka ya nyuma baba akisikia mtoto aliyezaliwa ni wa kiume walikuwa wanafurahi saana kuwa nimepata msaidizi na mrithi wangu maana wazee wa zamani walikuwa vizuri kutetea uanaume wao na kusimamia vizuri familia zao kama baba mwenye jukumu.
Maisha haya yakabadilika kabisa wanaume wengi wamekuwa tegemezi saana kwa wadada wanatongoza wadada walio na kazi ili waweze kubebwa kimaisha, imefika hatua wanakuwa na ndoto kichwani mwao ya kumpata mtoto wa tajiri au mwenye fedha ili angalau waishi kifalme
Cha kushangaza biblia takatifu imemtambua mwanaume kama baba wa familia yaani kichwa cha nyumba lakini saizi wamegeuka na kuwa wategemezi, hatukatai kuna mwanaume hana kazi lkni ana version ya maisha huyo unaweza chukua hata mkopo ukamwinua akasimama akarudi kwenye nafasi yake ya ubaba na kuisimamia familia vema au alikuwa nacho akadrop basi mnasaidiana kumuinua ili aendelee kuitetea familia yake kama baba.
lakini utakuta mwanaume wa siku hizi ametongoza siku mbili anaomba umwazime hela au umkopeshe anakuletea msururu wa shida kibao haaa mwanaume jisitiri shida zako ukizionesha kwa kupiga mizinga unadharaurika kabisaa yaani unapuuzwa
tumekuwa tukisemwa wanawake tunaomba hela sana naona hamjafanya utafiti wa kutosha miongoni mwa viumbe viongo na vitaalamu kwa mizinga ni wanaume. juzi rafiki yangu alikuwa anasimulia kuwa allikutana na mwanaume sehemu akajitambulisha kama ni mfanyakazi hajakaa sawa baada ya wiki moja anaona meseji ya kuomba laki tatu kuwa alikuwa anaumwa amekwama na anadaiwa kodi duu nilimwambia rafiki yangu kimbia huyo marioo hana future
ndo maana siku hizi wanawake wengi wanapenda wanaume wazee maana wanazitambua position zao kuwa wanatakiwa kutoa matunzo, hamna sresss wala huombwi kitu chochote
mbali na hivyo utakuta mwanaume anajitetea kuwa ukiona hivyo alikuwa hampendi ndo maana naomba hela hamna huko ni kujidhalilisha na kuendekeza shida sisi wanawake ukilelewa na sisi kumbuka lazima usimangwe mana sio kazi yetu hiyo ya kukulea hata kama hukunipenda lakini utakavyotangazwa na hiyo hela utaiona ya moto maana hakuna mahali biblia ilipoandika juu ya mwanamke kuombwa hela,na hata kama umezidiwa kipato basi angalau tetea nafasi yako hakuna haki sawa kabisaa hayo ni maneno ya wanaharakati mtunze mtu wako mi bado naamini mwanaume unatakiwa usimame kutetea nafasi yako na kupanga utaratibu wa familia yako na ufuatwe
jirekebisheni nyinyi ni baba zetu na tunawaheshimu saana lindeni nafasi zenu mimi naaamini mwanaume ni baba ila akiwa ombaomba nampuuzaa sana
 
Vizuri
 
siasa mbovu ndizo zimetufikisha hapa, uchumi unadidimia, sizani kama kipato cha mtu mmoja mmoja kingekuwa fresh wanaume tegemezi wasingekuwepo na hata kama wangekuwepo wasingekuwa wengi kiasi hiki cha kufikia ndugu zetu wa mikoa na kabila flani kujiuza kwa wanawake wa kizungu..aah naunga mkono hoja
 
Miaka ya nyuma baba akisikia mtoto aliyezaliwa ni wa kiume walikuwa wanafurahi saana kuwa nimepata msaidizi na mrithi wangu maana wazee wa zamani walikuwa vizuri kutetea uanaume wao na kusimamia vizuri familia zao kama baba mwenye jukumu.
Maisha haya yakabadilika kabisa wanaume wengi wamekuwa tegemezi saana kwa wadada wanatongoza wadada walio na kazi ili waweze kubebwa kimaisha, imefika hatua wanakuwa na ndoto kichwani mwao ya kumpata mtoto wa tajiri au mwenye fedha ili angalau waishi kifalme
Cha kushangaza biblia takatifu imemtambua mwanaume kama baba wa familia yaani kichwa cha nyumba lakini saizi wamegeuka na kuwa wategemezi, hatukatai kuna mwanaume hana kazi lkni ana version ya maisha huyo unaweza chukua hata mkopo ukamwinua akasimama akarudi kwenye nafasi yake ya ubaba na kuisimamia familia vema au alikuwa nacho akadrop basi mnasaidiana kumuinua ili aendelee kuitetea familia yake kama baba.
lakini utakuta mwanaume wa siku hizi ametongoza siku mbili anaomba umwazime hela au umkopeshe anakuletea msururu wa shida kibao haaa mwanaume jisitiri shida zako ukizionesha kwa kupiga mizinga unadharaurika kabisaa yaani unapuuzwa
tumekuwa tukisemwa wanawake tunaomba hela sana naona hamjafanya utafiti wa kutosha miongoni mwa viumbe viongo na vitaalamu kwa mizinga ni wanaume. juzi rafiki yangu alikuwa anasimulia kuwa allikutana na mwanaume sehemu akajitambulisha kama ni mfanyakazi hajakaa sawa baada ya wiki moja anaona meseji ya kuomba laki tatu kuwa alikuwa anaumwa amekwama na anadaiwa kodi duu nilimwambia rafiki yangu kimbia huyo marioo hana future
ndo maana siku hizi wanawake wengi wanapenda wanaume wazee maana wanazitambua position zao kuwa wanatakiwa kutoa matunzo, hamna sresss wala huombwi kitu chochote
mbali na hivyo utakuta mwanaume anajitetea kuwa ukiona hivyo alikuwa hampendi ndo maana naomba hela hamna huko ni kujidhalilisha na kuendekeza shida sisi wanawake ukilelewa na sisi kumbuka lazima usimangwe mana sio kazi yetu hiyo ya kukulea hata kama hukunipenda lakini utakavyotangazwa na hiyo hela utaiona ya moto maana hakuna mahali biblia ilipoandika juu ya mwanamke kuombwa hela,na hata kama umezidiwa kipato basi angalau tetea nafasi yako hakuna haki sawa kabisaa hayo ni maneno ya wanaharakati mtunze mtu wako mi bado naamini mwanaume unatakiwa usimame kutetea nafasi yako na kupanga utaratibu wa familia yako na ufuatwe
jirekebisheni nyinyi ni baba zetu na tunawaheshimu saana lindeni nafasi zenu mimi naaamini mwanaume ni baba ila akiwa ombaomba nampuuzaa sana
Ndoo maana mke wangu nilipomwoa alidhani nimemwoa kwakuwa kwao matajiri akawa malaya kupindukia akiamini asingetemwa. Sasa hivi anakula maisha na watu wa size yake.
 
Mkuu jaribu kufatilia maisha halisi ya mababu wetu walikuwa wanamiliki wake wengi ili wake wake wafanye kazi sio yeye afanye kazi nimejalibu kufupisha tu leo nimetype Sana hamu ya kuchangia humu sina nataka niwemsomaji
 
Kuna thread moja uliandika nilipenda jinsi unavyofikiri ila bora unakata maana nipo desperate.
Mkuu epuka sana kuanzisha mahusiano ukiwa desparate, tulia kwanza. Heal kwanza then utakapokuwa tayari ndio uanzishe. Sasa hivi hutojua mtu sahihi kwako, mwisho utavurugika zaidi baadae.
 
Ndiyo maana nimesema bora hata umekataa maana najua akili yangu imekaa tenge.
 
Mimi naomba tufanye simple 'research' humu humu JF, wanawake wa humu mtuambie katika ulio-date wangapi miongoni mwao walikuwa tegemezi.
Yaani 3/5 means watatu ni tegemezi katika watano ulio-date.
 
Back
Top Bottom