Kuongezeka kwa wanaume tegemezi ni hatari kwa taifa letu

Tatizo ni kwamba wanaume na wanawake wa kitanzania hawaamini kitu kinachoitwa
" UCHAWI "

Jiungeni na Freemasons, illuminati, Rothschild and Rockefeller, skull and bones,
Maisha bado yapo na ukitulia na kukomaa unaweza kuwa bilionea,

Hakuna kinacho shindikana duniani ni kufanya maamuzi magumu na sahihi.

Wee kama mwanamke wa usio wa kitanzania hope upo skull & bones mkuu
 
Mkuu si ndio unafanya kazi ili tusiwe na housegirl maana hauna kazi upo tu!!
Kumuwezesha siwezi labda ashuke Masihi. Vipato vyetu sisi vina matumizi mengine, vyenu ndio vya familia.

Ila hivi ujue kuna mambo yanachekesha kama sio kusikitisha, hivi mkuu unawazaje kuoa na hauna kazi(kipato) huko si ndio kurudisha maendeleo ya nchi nyuma!!!

Alafu mkuu hakuna mwanamke asie na kazi, hayupo na hatotokea.
Bali kuna mwanaume asie na kazi. Hii tabia ya kusema kuwa hela zenu ni za matumizi mengine is a desease a cancer, nina mifano hai ya kwenu kuhusu uwajibakaji wenu kwa ujumla wake kwenye familia. Hamzingatii FSR kabisa, mwanamke anadiriki kusema siwezi lipa ada ya mtoto! Hata kama ulimbeba kwa miezi 9,kumbuka kuwa mmeunite ili kusukuma gurudumu la familia pamoja.
Nasi tukiamua kulalia pesa zetu maisha yatakuwaje? Kila mmoja atimize wajibu wake na achukue stake yake, thats family.
 
Unazilaliaje pesa zetu? Hizo sio "zako"ni za familia yetu hivyo ni zetu. Umesema vyema, kila mmoja atimize wajibu wake it means tuna wajibu tofauti na kutoa pesa sio jukumu la mwanamke kabisa. Nyie timizeni wajibu wenu tu,msitupe majukumu yenu maana nasi tuna yetu.
 
Ndoo maana mke wangu nilipomwoa alidhani nimemwoa kwakuwa kwao matajiri akawa malaya kupindukia akiamini asingetemwa. Sasa hivi anakula maisha na watu wa size yake.

dah !why hutaki kumove on mkuu ?? haha pole aisee
 
Unazilaliaje pesa zetu? Hizo sio "zako"ni za familia yetu hivyo ni zetu. Umesema vyema, kila mmoja atimize wajibu wake it means tuna wajibu tofauti na kutoa pesa sio jukumu la mwanamke kabisa. Nyie timizeni wajibu wenu tu,msitupe majukumu yenu maana nasi tuna yetu.
Mi naona uchague kuwa na pesa,akija kijana asiye na kazi ukamkataa sioni kama kuna tabu.
 
Unazilaliaje pesa zetu? Hizo sio "zako"ni za familia yetu hivyo ni zetu. Umesema vyema, kila mmoja atimize wajibu wake it means tuna wajibu tofauti na kutoa pesa sio jukumu la mwanamke kabisa. Nyie timizeni wajibu wenu tu,msitupe majukumu yenu maana nasi tuna yetu.
Ya kwenu ya kuwekea nywele steaming mnh
 
Back
Top Bottom