Kuongezeka kwa lebal na studio mziki unakua au unakufa??

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,986
Ukweli kuwa kila mtu hivi sasa akifanikiwa katika kidogo katika mziki anawaza kuanzisha lebal na studio mfn allykiba,diamond,barnaba,cristian bella,banana zolo n.k.

naomba kujadili au niulize je mziki wa bongo utakuwa au kudondoa kwa kuongezeka hizi studio maana kuna urupurupu wa mastudio mtaani kila mtu producer...

..kazi njema waadau.....
 
Hii ni njia ya uhakika ya kuinua vipaji vya mziki Tanzania Je unataka kuingia kwenye mashindano ya bure ya mziki duniani?
 
Back
Top Bottom