kuongeza nafasi za kazi kwa vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuongeza nafasi za kazi kwa vijana

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Akida kaka, Feb 1, 2012.

 1. A

  Akida kaka Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ilikuongeza nafasi za kazi, naomba umri wa kustaafu upunguzwe ili vijana nao wapate nafasi.

  wanajamii mnalionaje hili?
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama una hela ya kwenda kutibiwa India anzisha hiyo mada....kuna vizee vichawi vitakutoa roho...
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hahahaaaaaaa watam-mwankyembe
   
 4. k

  kulwa12 Senior Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tatizo moja vijana wengi tunapigania tupewe nafasi zaidi hili ni jambo zuri,lakini tatizo ni mmoja wengi wetu tukipata hizo nafasi za juu tuansahau tulikotoka na kuwa nu ya dhara ya ajabu sana na hatutoi msaada wowote kwa vijana wengine kuwainua.mkuu we jaribu kumtafuta kijana yoyote mwenye mafanikio uone kama utapata hata nafasi ya kuongea nae au hata kama atatoa nafasi yake ya dakika kukupa hata ushauri.hili linanisikitisha sana,haina maana yoyote kuwapa vijana nafasi kama matokeo yake ni haya.
   
 5. burtons

  burtons JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hahahahahahha bush baby banaaaaaaa
   
Loading...