Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

Bruce Hebrews

Member
Sep 22, 2021
16
75
Kaa nazo mbali

Faida ni chache na niza muda mfupi, Madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu.


Njia pekee ya kuufanya mwili uwe fit na uonekane fit, ni kuzingatia Taratibu za kiafya
  • Kula vizuri
  • Fanya mazoezi stahiki mara kwa mara.
  • Cheki afya yako na pata ushauri inapobidi.
  • Punguza matumizi ya vyakula vya hovyo na vinyaji vya hovyo, (ambapo kwa walio wengi aina hii ya vyakula/ vinywaji vya ovyo kwao huona ni ufahari na kuyapatia maisha kumbe wanajiangamiza na kudhorotesha afya zao taratiiibu)
  • Pendelea kunywa maji zaidi na kutumia matunda.

Hakika mwili utakuwa fit na utakuwa na mwonekano fi bila kujali jinsia kuwa wewe ne Me au KE

View attachment 1950266

images
Ahaaaa Shukran Madhara yake Ni Kama yapi
 

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
887
1,000
Aisee nimejiandikisha gym jana maana mazoezi ya ghetto hayanipi mwitikio nakosa kampani. Watu wote hawafanyi mazoezi hafu kuna watoto wa kike hapa hivo nilikuwa navizia usiku wa manane. Sasa tangu leo nitaamka asubuhi mapema naingia gym kama dakika 40 kisha najiandaa na ratiba ya masomo.

Leo nimepiga kidogo tu mikono imelegea. Mimi ni mtu niliyekuwa very negative na mazoezi, nimeenda ili niongeze uzito kiafya. Bajeti ya chakula nimetenga kuanzia leo nitaongeza chakula. Miaka kama minne sasa nakula mlo mmoja kwa siku, nimeacha. Nilipopiga leo nikahisi njaa jambo lisilo la kawaida.

Sema kuna influence kama hii View attachment 1708912
Mkuu, bado unapiga chuma?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom