Kuongea usingizini

Runner

Member
Feb 7, 2011
85
13
Habari wana JF,mimi napenda kufahamu;Ni nini sababu inayomfanya mtu kuongea akiwa usingizini (ANAOTA ANAONGEA KWA SAUTI),na hii huwa ni tatizo au ugonjwa?Na je linaweza kuepukika?Naomba msaada kwenye hili.
 
Inabidi ukaombewe inawezekana ikawa unaongea na mizimu. labda utoe ufafanuzi zaidi ni maongezi ya namna gani kabla haujapewa msaada.
 
ukilala unalala akili lakini mfumo wa uongeaji haujalala....nsomana unaendelea kupiga story
 
unakuta kuna jambo uliliongea sana mchana sasa usiku ubongo ndio unakuwarudia ulichofanya mchana huo..
 
Thats true Sabry,nadhani alikosa kazi ya kufanya na hajui alitendalo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom