Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

Hasham007

Member
Sep 12, 2017
13
2
Enzi zileeeeeeeeee

Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri

Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
 
Hahaha au ndo wapo wanaongea kwanzaaa ?? Labda tusubiri saa moja asubuhi wakimaliza
 
Siri ya kuongea muda mrefu ni kuwa hamtakiwi kuwa serious...Topics ziwe mseto na muwe mmeshibana sana ili isaidie kuboost hamu ya maongez zaidi.
Muwe katika mazigira yanayowapa uhuru wa kuongea zaidi bila bughudha, maybe ME yupo ghetto mwenyewe na KE yupo chumbani kwake.
 
High school baada ya kuchaj 2/3betries for wholly week(kwa solar panel)..then by ijumaa 9t Kali,saa5+ ...maongez na loleza/weruweru ....MSULI TIGO
 
hivi haya maisha yalivyobana namna hii..wenzetu mnapata hadi muda wa kuongea usiku kucha?
 
wewe utakua o level au utakua mkubwa aliyeanza mapenzi ukubwani bila shaka
 
Back
Top Bottom