Kuondolewa madarakani kwa viongozi wa serikali ni chanzo cha uadilifu kwa wanaobaki?


Daniel Mbega

Daniel Mbega

Verified Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
331
Likes
165
Points
60
Daniel Mbega

Daniel Mbega

Verified Member
Joined Mar 20, 2013
331 165 60
kilango-jpg.360864

Oktoba 25, 2015, Tanzania iliendesha uchaguzi mkuu, na matokeo ya uchaguzi huo yalishuhudia Dk. John Pombe Magufuli, mgombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitangazwa kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mnamo Novemba 5, 2015, siku chache tangu Magufuli kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo, aliapishwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hadi sasa, rais Magufuli amefanya mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kukuza uchumi wa nchi akiongozwa na kauli mbiu ya chama chake ya “HAPA KAZI TU’’.

Soma zaidi hapa => Kuondolewa madarakani kwa viongozi wa serikali ni chanzo cha uadilifu kwa wanaobaki? | Fikra Pevu
 

Forum statistics

Threads 1,238,902
Members 476,226
Posts 29,336,217