Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

Jamani nilikuwa naangalia marudio ya kile kikao chao cha nec hakuna ubishi hawa jamaa wamekwenda na maji maana raisi aloip[ofikia hipo point kuwa wamekubaliana kwamba either wajiuzuru wenyewe au wakichelewa watawajibishwa yaani mpk sura yakke ilibadilika it was too emotional kuonyesha kwamba ni suala gumu ila inabidi lifanyike na chiligati baadae akaja kulikazia kwa kuongea wale wote wanaotajwa kama mafisadi wajitoe wenyewe otherwise ccm itawawajibisha. Kwa hjiyo nahisi hapo hakuna kubebana tena ni kuondoka tu kwa hao jamaa ila naitamani hiyo siku watakayotamka wenyewe na si kufukuzwa in aibu kubwa kwao itakuwa.lowasssa uraisi bai bai tena
 
Tusubiri tuone
 
Hapo ccm hakuna moyo wa dahati wa kukabili ufisadi...

ni kutaniana tu ...

NI kujivua gamba au Kupiga moyo konde..!!? ufsadi ni vita vyo moyoni sio vita nvya kusafishana ..magamba...uterly non sense!!!
 
Kikwete amtakasa Rostam, ASEMA NI MTU SAFI ALIYEENEA KAMA TIMU YA MPIRA

Saturday, 02 October 2010 07:11

jkrostam.jpg

Ibrahim Bakari, Igunga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete amemsifu mweka hazina wa zamani wa chama hicho, Rostam Aziz kuwa ni mtu safi na aliyeenea kila sehemu.Kikwete alisemna hayo wakati akimtambulisha Rostam, ambaye anatetea kiti chake kwenye Jimbo la Igunga ambako amekuwa mbunge tangu mwaka 1995.

Kikwete: Lowassa ni msafi, alisingiziwa!

Lowassa: Hakuna wa kunivuruga na Kikwete
• "Hatukukutana barabarani, na watu hawawezi kutuvuruga barabarani."

na Mwandishi Wetu

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema uhusiano imara wa kisiasa na kikazi alioujenga kwa miaka mingi na Rais Jakaya Kikwete, hauwezi kuvurugwa na jitihada za kikundi kidogo cha watu wenye nia mbaya.

Lowassa alitoa kauli hiyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana wakati alipofanya mahojiano ya ana kwa ana na Tanzania Daima Jumatano.

‘‘Huyu bwana mkubwa (Rais Kikwete), hatukukutana barabarani, na watu hawawezi kutuvuruga barabarani,” alisisitiza Lowassa, wakati alipotakiwa kueleza iwapo ni kweli amejipanga kusaka urais wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

SOurce:Lowassa: Hakuna wa kunivuruga na Kikwete
.
Hapo hakuna msafi hata mmoja, si JK, RA wala EL. Wote hao wajiengue kwenye chama ndani ya siku 90 walizopewa, vinginevyo ni sawa na kumpaka rangi nyingine Simba na kisha kudai eti kabadilika na kuwa paka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom