Kuondolewa Kwa Channel ya Emmanuel Tv Katika Kingamuzi cha Startime...

Mungu tunusuru na janga la udini hapa tanganyika, na watu wote semeni 'amen.'

Kweli mkuu maana hatukuwa na udini ila naona sasa udini unakuja kwa kasi sana na imekuwa ni sehemu ya

malumbano yasiyokuwa na tija.
 
sasa mbna mnagombana tena? Mkuu achana na startimes tafuta Receiver ya MEDIA STAR MEGABOX 2 ambayo ni digital satelite receiver humo utapata channel kibao hadi emmanuel tv we

mkuu inapatikana wapi hiyo.? Gharama zake vipi.?
 
Mkuu nimeshampeleka sehemu inayohusika. Ataheshimu hii JF. Ni huru kwa uhuru wa mawazo ambayo hayatumii lugha chafu kwa namna yoyote ile. Huu ni mwaka wangu wa 5 hapa sijawahi kutumia lugha mbaya wala kupewa karipio maana nafuata taratibu.

sasa mbna mnagombana tena? Mkuu achana na startimes tafuta Receiver ya MEDIA STAR MEGABOX 2 ambayo ni digital satelite receiver humo utapata channel kibao hadi emmanuel tv we
 
sasa mbna mnagombana tena? Mkuu achana na startimes tafuta Receiver ya MEDIA STAR MEGABOX 2 ambayo ni digital satelite receiver humo utapata channel kibao hadi emmanuel tv we

Mkuu sina tabia ya ugomvi kabisa. Na ndiyo maana sikutaka kumjibu aliyehusika. Nikigombana naye nami nitakuwa kama yeye na mimi sitaki. Mkuu mimi napata Tv channel nyingi sana ikiwemo hiyo Emmanuels na nyinginezo za dini. Kwa upande wangu startimes hawajawahi kunivutia sana. Kuna kijana wangu alinunua longtime na alipoona hakuna zaidi ya iliyopo nyumbani basi aliitupilia mbali muda mrefu. Halafu pia kuna rafiki zetu wanalalamika kuwa huwa startimes wanadanganya ukinunua ya mwezi haifiki tarehe waliokuandikia inakatika. Ukweli labda watuambie ambao wanatumia wajaribu kuweka kumbukumbu ya tarehe ya manunuzi na ile mliokubaliana muone kana inaenda sawa.
 
walioitoa hawajiamini katika kazi wanataka kuwafurahisha kundi fulani la jamii kwa upumbavu wao walipoiweka mwanzo walikusudia nini?
 
Iko wz sababu ya kuizuia hiyo TV.
Huyo TB si ndo alimtabiria EL kuwa Rais wa 5 wa Tz?
Hamuoni kuwa EL anaweza kuwa anaitumia kuutangaza utabiri huo kila siku via TV hiyo, kuaminisha waTZ kuwa yeye kuwa Rais ni kutimiza unabii?
Bila shaka wapinzani wa EL wasingekuwa tayari kuona hilo linatimia.

ur thinkin outside the box achana na hao jamaa kila kitu udin
 
nashindwa ku connect dots,by the waytunaotumia king'amuzi cha Ting mbona tunaipata vzr tu bila tatizo?
Labda kuna mgongano wa kimaslahi,btn star tyms na Ting.
 
Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi huu wa nane TBC kupitia Star Media Group ( Startime) waliongeza chanel ya Emannuel Tv.
Lakini baada ya muda wakaiondoa na kuweka chanel nyingine kitendo hicho kiliwaudhi watu wengi haswa haswa waumini wa kikristu ukizingatia wengi wao walikuwa wakiisubiri kwa hamu na wengi walishukuru sana baada ya startime kuiweka.

Kitendo cha chanel hiyo kuondolewa kilipelekea wapenzi wa chanel hiyo kwenda kwa wingi na wengine kupiga simu kutaka kujua kulikoni.

Mmoja wa watu hao ni mimi mwenyewe nikifatana na watu wengine kama wanne hivi,lakini cha kushangaza na kufurahisha zaidi baadi ya kufika Startime tulikutana na watu wengine nao walikuwa na maswali hayohayo.

Tuliungana na kuanza kumuliza mwenyeji wetu nini sababu ya kuiondoa chanel hiyo kwani ilivutia watu wengi kununua ving’amuzi na pia ilikuwa ni faida kwao kwani wengi tuliokuwa hatutumii tena ving’amuvi tulivutiwa na chanel hiyo na kuanza kuvitumia tena.

Majibu tuliyo pewa yana shangaza sana kama siyo kustaajabisha,kwanza mwenyeji huyo alituomba radhi kwa kitendo hicho na kusema kulitokea matatizo na usumbufu kwa baadi ya watu hivyo wakaamua kuiondoa.

Baada ya kumbana sana kwa maswali akageuza kibao na kutuambia kuwa wao ndio wanaoongeza chanel na kuiondoa pale wanapoona inafaa na hakuna wa kuwaingilia, mwenyeji huyo aliondoka na kutuacha na maswali yetu, kasha baada ya kama dakika mbili alirudi na kutuamba amemaliza hivyo akatutaka kuondoka.

Lakini kabla hatujaondoka alikuja mhudumu mwingine na baada ya kutukuta tunalalamika akatuuliza nini tatiza,tulimwaleza kwakuwa alionekana kidogo mstaarabu na hapo ndipo ukweli ukawekwa wazi ila alikuwa na wasiwasi sana na aliomba kutusindikiza nje ya jingo hilo huku akitutonya nini kilicho tokea.
Alitueleza kuwa lilitoka shinikizo kutoka kikundi Fulani na baada ya kuzozana nao kwa muda juu ya kuiondoa hiyo chanel kwa sababu ambazo kijana huyo aligoma kutueleza,watuhao waliondoka na kurudi tema kama mara tatu na hoja yao ilikuwa hiyohiyo.

Tulipo muuliza ni watu gani hao mvujisha siri huyo hakuwa tayari kueleza,anasema baada ya muda kupita bila kuwaona watu hao wakajua upepo umepita lakini kumbe sivyo kwani walipokea shinikizo linguine kwa barua kutoka serikalini na sasa ilikuwa siyo ombi tena bali ni lazima.

Tukamuuliza barua hiyo imesainiwa na nani kama anaweza kutueleza lakini kama kawaida hakusema bali alituambia sehemu ya barua hiyo ilieleza kuwa chanell hiyo si salama kwa usalama wa taifa hivyo iondolewe mara moja nao ikabidi waidoe kuepusha shari.tuliishia hapo na kuangana

KWA MAWAZO YAKO WEWE MTANZANIA UNAPATA PICHA GANI KATIKA HILI.JE NINI KIFANYIKE.

Kazi kweli kweli. Me hoping hii haito sambaa kote Tanzania. Maana sisi huku MWZ tunahifurahia hii channel kutoka kwa cable tv tulizonazo....
 
nashindwa ku connect dots,by the waytunaotumia king'amuzi cha Ting mbona tunaipata vzr tu bila tatizo?
Labda kuna mgongano wa kimaslahi,btn star tyms na Ting.

Mku TING si unajua ni ya Agape Television Network na ndiyo mission yao? Ya Startimes si unajua ku-connect the Dot na TBC1? Nafikiri jibu umelipata sasa na ukizingatia Mkuu wake mwenyewe majuzi kawaangukia wa upande wa pili kisa takwimu za udini?
 
kwa huyo anaesema tb joshua alimtabiria El ni uwongo,km huamini unaweza google kila kitu kipo wazi,na utamuona huyo el akiwa pale kanisani,bt alichoambiwa na kwa faida ya wengine,Atubu kwa taifa lake kwanza!
 
Ss dawa yao ni kufanya promo watu waachane na startyms wahamie kwny ting,tuone,coz im sure ambao wana hiyo startyms wataacha kulipia tuone faida itatoka wapi
 
kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu
 
kwa huyo anaesema tb joshua alimtabiria El ni uwongo,km huamini unaweza google kila kitu kipo wazi,na utamuona huyo el akiwa pale kanisani,bt alichoambiwa na kwa faida ya wengine,Atubu kwa taifa lake kwanza!

Yap i heard that......bt hapa nafikiri kuna kitu nyuma ya pazia
 
kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu

Hilo nalo linawezekena,ila jamani ushauri wangu,wanunue ting au kingine chochote chenye hyo channel
 
Kwakweli startimes hata mim imenichosha kabisa.
Na siku hizi hiyo channel ya Emmanuel kweli haipo.
Lisemwalo lipo...
 
Kichwa cha habari chahusika .....
source: mimi mwenyewe nikiwa sebuleni macho kodo kwenye tv.
 
na waziondoe tu, king'amuzi chao nimekiweka stoo kinakula vumbi dstv ndo mpango mzima
 
Yes so sad. Ths is politically motivated. What a shame! Anyway BTC are up this September
 
Back
Top Bottom