Kuondoka kwa sheikh yahya siku 1 kabla ya mwisho wadunia inafundisha nini wategemao utabiri!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuondoka kwa sheikh yahya siku 1 kabla ya mwisho wadunia inafundisha nini wategemao utabiri!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Kuna watu maishayao yote wanaishi kutegemea waganga na watabiri..ninavyoongea kuna watu wanakwenda kuwa maskini wa kutupa kutokana na kifo cha sheikh yahyan sasa basi ni wewe mtu wa mungu kujianda kupokea zile nyota zako zilizochukuliwa..kilichokuwa kikifanyika ni kuchukua nyota ya huyu na kumpelekea yule dats off....sasa basi kuna vituko vingi vinakwenda kutokea kwenye uongozi wa rais kikwete kuanzi mawaziri mpaka katibu kata.....

  Kumbuka tulitabiriwa sikumoja kabla ya kifo cha yahya ni mwisho wa dunia sasa huyu ataondokaje kabla ya mwisho wa dunia aujatimia kama walivyotabiri..je wewe unaeamini na kujishugulisha maisha yako nanwatabiri umejifuza nini???

  Ngoja nkawahi mnuso wa arusi
  jumamosi njema
   
 2. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mashudu!!!!
   
Loading...