Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na kwenda RWANDA aliiacha CUF ina Wabunge wawili .
Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi. Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na ndo kwanza miaka miwili tangu tumalize uchaguzi.
Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF.
Ushauli wangu Lipumba ni bora Uachie ngazi