Kuondoka kwa Lowassa CHADEMA - sasa njia nyeupe kwa Lissu kupambana na Magufuli kugombea urais

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,257
2,000
Nadhani Chadema wanajua wazi kwamba Lowasa alihamia Chadema si kwa kuwa alikubaliana na sera za Chadema dhidi ya CCM, bali kwa kuwa aliona nafasi ya kuwa raisi wa Tanzania kupitia Chadema. Na Chadema (au Mbowe) hawakumkubali Lowasa kwa kuwa walimpenda, bali walimwona kama tiketi yao ya kushika uongozi wa nchi. Kumbuka wakati fulani JK alitishia kuhamia Chadema kama Mkapa asingempitisha kuwa mgombea uraisi wa CCM mwaka 1995. Kwa hiyo hili linaeleweka.

Lowasa "alishindwa" na Magufuli katika uchaguzi mkuu uliopita. Lakini Lowasa alionyesha kila dalili ya kutaka tena kuwa mgombea wa Chadema kwenyeuchaguzi mkuu ujao. Watu kama kina Lissu na wengineo hawakuwa tayari kuruhusu Lowasa apewe tiketi ya Chadema safari hii. Mbowe aliambiwa tulikukubalia kwa shingo upande uchaguzi uliopita, safari hii hatutaki.

Kisha akaingia LIssu. Jaribio la kumuua kama lilikuwa na lengo la kummaliza, sasa limempaisha kisiasa, ndani na nje ya nchi. Lissu sasa anatambua kwamba it is now or never kushindana na Magufuli uchaguzi ujao, na wengi wanakubaliana nae. YUpo Sumaye, lakini watu wanamwambia wazi nyota inayowaka kwa sasa ni Lissu.

Ndipo Lowasa alipotambua hana lake tena Chadema. Atafanya nini? Atakuwa nani? New kid on the block ni LIssu. Akaona ni bora arudi CCM ambako angalau ataheshimika na kna kuenziwa kama Waziri Mkuu mstaafu, heshima ambayo hakuipata kikamili alipokuwa Chadema.

Nimejifunza jambo moja kuhusiana na siasa za CCM. Hakuna mpinzani mbaya, bali wote ni watu wazuri na wenye hekima na wenye mawazo mazuri sana. Ubaya wao ni kwamba wako upinzani. Wakirudi CCM ghafla wanabadilika na kuwa watu safi wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Yale matusi, kebehi na kashfa zote wanazofanyiwa wakiwa upinzani ni siasa tu, sio ukweli.

Kwa hiyo sasa njia ni nyeupe kwa Lissu. Magufuli jiandae. Na ukweli ni kwamba CCM wasipoangalia, na wasipotumia bao la mkono, Lissu anaweza kuwashangaza watu.
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,507
2,000
Mpaka huyu mzee(jasusi) anaamua kurudi ccm basi huko chadema lzm atakuwa kashafanya yake kuhakikisha ccm inapita na uraisi tena 2020

Pia chadema hawana mipango madhubuti ya kushika nchi mfano hizo ziara za lisu kama vile chadema walimtenga kiani hawakumpa full support

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,797
2,000
Nadhani Chadema anajua wazi kwamba Lowasa alihamia Chadema si kwa kuwa alikubaliana na sera za Chadema dhidi ya CCM, bali kwa kuwa aliona nafasi ya kuwa raisi wa Tanzania kupitia Chadema. Na Chadema (au Mbowe) hawakumkubali Lowasa kwa kuwa walimpenda, bali walimwona kama tiketi yao ya kushika uongozi wa nchi. Kumbuka wakati fulani JK alitishia kuhamia Chadema kama Mkapa asingempitisha kuwa mgombea uraisi wa CCM mwaka 1995. Kwa hiyo hili linaeleweka.

akili zako zinawaza kinyumenyume yaani Lissu awe Rais wa Tsnzania
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,342
2,000
Mpaka huyu mzee(jasusi) anaamua kurudi ccm basi huko chadema lzm atakuwa kashafanya yake kuhakikisha ccm inapita na uraisi tena 2020

Pia chadema hawana mipango madhubuti ya kushika nchi mfano hizo ziara za lisu kama vile chadema walimtenga kiani hawakumpa full support

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Ujasusi wake ni wa kuifanya ccm ishinde urais na sio yeye kuwa rais? Hamna jasusi anayetembea kwa kutetemeka. Lisu yuko Ulaya kimatibabu sio kwa ajili ya ziara za chama. Kama huna ujualo kaa kimya.
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,507
2,000
Hivi umeelewa nilichoandika au umekurupuka tu?

BBC ni hospital ? Hata kama chadema kwa pamoja wangeonesha kumuunga mkono ili ionekane ni movement ya chadema au upinzani kwa ujumla wamemuacha amepambana peke yake mpaka kaonekana kama anachuki binafsi na jiwe

Acha uhanithi ww, nimekuambia lisu yuko Ulaya kwenye matibabu na sijasema yuko hospitalini. Mtu akiwa kwenye matibabu haimaanishi yuko gerezani kwamba hapaswi kufanya mazoezi ya viungo. Akae hospitali muda wote kwani ana kipindupindu useme yuko kwenye quaranteen?
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,507
2,000
Acha uhanithi ww, nimekuambia lisu yuko Ulaya kwenye matibabu na sijasema yuko hospitalini. Mtu akiwa kwenye matibabu haimaanishi yuko gerezani kwamba hapaswi kufanya mazoezi ya viungo. Akae hospitali muda wote kwani ana kipindupindu useme yuko kwenye quaranteen?
Sawa umeshinda tuma SALAAM kwa watu sita

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Mkuu synthesizer unatumia avatar ya msomi mbobezi wa mambo makubwa duniani halafu unatudhihirishia wewe ni NYUMBU kiasi gani. Maneno na predictions kama hizi ziliweza kufanya kazi enzi zile za 2015 ambapo wafuasi wengi wa CDM na ukawa kwa ujumla waliaminishwa mabadiliko kwa kuviringisha mikono.
Mambo yanayofanywa na mzee MAGUFULI hatahitaji propaganda nyepesi kama hizi. Mnapoteza muda mwingi sana ku strategize agenda ambazo hazina mvuto.
Mathalani unaweza kumpima Lissu na MAGUFULI katika muktada upi
1. Kuleta elimu bure
2. Heshima maofisini hasa kwa wanyonge
3. Wanyonge kusikilizwa kero zao
4. Wakulima kupatiwa ufumbuzi wa mazao
5. Ujenzi wa miundombinu
6. Ndege 6 ndani ya miaka 3
7. Reli ya mfano afrika.mashariki
8. Mafisadi kufungwa
9. Ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima
10. Umeme hadi kwenye matembe
11. Mikopo ya wanafunzi
12. Mabarabara ya juu
13. Ujenzi Mabarabara kila pembe ya nchi
14.wachimbaji wadogo ni chereko nchi nzima
15. Mengine ongezea nawewe.
Ikungi wanataka mbunge anayewajali na kuwasikiliza wananchi wake sio kubwabwaja na kutoa mapovu wakati kero na changamoto za wananchi wake zimerundikana bila kupatiwa ufumbuzi. Ni bora angekuwa anashea fedha za mabwanyenye na mabeberu anazopata huko ulaya kwa kuwaletea maendeleo watu wa ikungi. Mleteni 2020 mtakubali maneno yangu.
Tena bado ana mtihani mkubwa kutoka kwa chagademas kumteua yeye kwani anaweza kutibua ulaji wa wenye chama.
Hayo uliorodhesha ni zero ukilinganisha na maovu ya awamu hii na pia yako kipropaganda zaidi na mengine ni ya kawaida tu.

Msisahau hata Kikwete alijenga barabara,vituo vya afya,miradi ya umeme kama ile ya kinyerezi, chuo cha UDOM,mradi wa mabasi ya mwendo kasi Dar,daraja la kigamboni,n.k lakini bado kura zake zilishuka tena kwa kiwamgo kikubwa.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,121
2,000
Mkuu synthesizer unatumia avatar ya msomi mbobezi wa mambo makubwa duniani halafu unatudhihirishia wewe ni NYUMBU kiasi gani. Maneno na predictions kama hizi ziliweza kufanya kazi enzi zile za 2015 ambapo wafuasi wengi wa CDM na ukawa kwa ujumla waliaminishwa mabadiliko kwa kuviringisha mikono.
Mambo yanayofanywa na mzee MAGUFULI hatahitaji propaganda nyepesi kama hizi. Mnapoteza muda mwingi sana ku strategize agenda ambazo hazina mvuto.
Mathalani unaweza kumpima Lissu na MAGUFULI katika muktada upi
1. Kuleta elimu bure
2. Heshima maofisini hasa kwa wanyonge
3. Wanyonge kusikilizwa kero zao
4. Wakulima kupatiwa ufumbuzi wa mazao
5. Ujenzi wa miundombinu
6. Ndege 6 ndani ya miaka 3
7. Reli ya mfano afrika.mashariki
8. Mafisadi kufungwa
9. Ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima
10. Umeme hadi kwenye matembe
11. Mikopo ya wanafunzi
12. Mabarabara ya juu
13. Ujenzi Mabarabara kila pembe ya nchi
14.wachimbaji wadogo ni chereko nchi nzima
15. Mengine ongezea nawewe.
Ikungi wanataka mbunge anayewajali na kuwasikiliza wananchi wake sio kubwabwaja na kutoa mapovu wakati kero na changamoto za wananchi wake zimerundikana bila kupatiwa ufumbuzi. Ni bora angekuwa anashea fedha za mabwanyenye na mabeberu anazopata huko ulaya kwa kuwaletea maendeleo watu wa ikungi. Mleteni 2020 mtakubali maneno yangu.
Tena bado ana mtihani mkubwa kutoka kwa chagademas kumteua yeye kwani anaweza kutibua ulaji wa wenye chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,439
2,000
Lisu kwanza lofa si mchangiaji mkubwa wa kifedha kuendesha chama ni mtumiaji tu wa pesa za chadema . Chadema hazijawahi weka lofa asiye na pesa au wafadhili wakubwa wenye pesa kugombea.Ina maana akishika hata hajui pesa za kampeni zitatoka wapi atabaki kuongea kiingereza tu!!! Chadema ina wenye pesa akina nyalandu na akina Sumaye .Swala sio kujulikana do you have money for campaign au unataka tu uingie ugombea uraisi ulie lie tu kuomba hela ya nauli baada ya kupewa ya Kula,kulala,matibabu ,hela ya mavazi na ada za watoto? Tundu Lisu ni beggar uraisi hawezi pewa agombee chadema
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986
2,000
Nadhani Chadema anajua wazi kwamba Lowasa alihamia Chadema si kwa kuwa alikubaliana na sera za Chadema dhidi ya CCM, bali kwa kuwa aliona nafasi ya kuwa raisi wa Tanzania kupitia Chadema. Na Chadema (au Mbowe) hawakumkubali Lowasa kwa kuwa walimpenda, bali walimwona kama tiketi yao ya kushika uongozi wa nchi. Kumbuka wakati fulani JK alitishia kuhamia Chadema kama Mkapa asingempitisha kuwa mgombea uraisi wa CCM mwaka 1995. Kwa hiyo hili linaeleweka.

Lowasa "alishindwa" na Magufuli katika uchaguzi mkuu uliopita. Lakini Lowasa alionyesha kila dalili ya kutaka tena kuwa mgombea wa Chadema kwenyeuchaguzi mkuu ujao. Watu kama kina Lissu na wengineo hawakuwa tayari kuruhusu Lowasa apewe tiketi ya Chadema safari hii. Mbowe aliambiwa tulikukubalia kwa shingo upande uchaguzi uliopita, safari hii hatutaki.

Kisha akaingia LIssu. Jaribio la kumuua kama lilikuwa na lengo la kummaliza, sasa limempaisha kisiasa, ndani na nje ya nchi. Lissu sasa anatambua kwamba it is now or never kushindana na Magufuli uchaguzi ujao, na wengi wanakubaliana nae. YUpo Sumaye, lakini watu wanamwambia wazi nyota inayowaka kwa sasa ni Lissu.

Ndipo Lowasa alipotambua hana lake tena Chadema. Atafanya nini? Atakuwa nani? New kid on the block ni LIssu. Akaona ni bora arudi CCM ambako angalau ataheshimika na kna kuenziwa kama Waziri Mkuu mstaafu, heshima ambayo hakuipata kikamili alipokuwa Chadema.

Nimejifunza jambo moja kuhusiana na siasa za CCM. Hakuna mpinzani mbaya, bali wote ni watu wazuri na wenye hekima na wenye mawazo mazuri sana. Ubaya wao ni kwamba wako upinzani. Wakirudi CCM ghafla wanabadilika na kuwa watu safi wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Yale matusi, kebehi na kashfa zote wanazofanyiwa wakiwa upinzani ni siasa tu, sio ukweli.

Kwa hiyo sasa njia ni nyeupe kwa Lissu. Magufuli jiandae. Na ukweli ni kwamba CCM wasipoangalia, na wasipotumia bao la mkono, Lissu anaweza kuwashangaza watu.
Unaongea usilolifahamu angekuwa anakubalika huyo Tundu Lissu ndani ya chadema wangempiga stop afuate utaratibu wa kuomba kugombea sasa kwa taarifa yako 2020 Mgombea Urais chadema ni Lazaro Nyalandu au Bernard Membe make my words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom