kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,602
Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA.
Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila upendeleo na bila woga. TFF Ina mapungufu makubwa sana ya kufanya fairness kwa timu zake dhidi ya timu kubwa za Simba na Yanga, na kuvunjika kwa mkataba wa udhamini na GSM ni ushahidi tosha wa udhaifu huo.
Kama TFF inazo kanuni, maagizo, na adhabu zinazobagua timu ndogo na timu kubwa wanafaa kuondoka.