Kuondoa madoa meusi mwilini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuondoa madoa meusi mwilini

Discussion in 'JF Doctor' started by feis buku, Oct 25, 2011.

 1. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wandugu habari zenu!wapendwa niliugua tetekuwangu mwezi mmoja umepita,nimepona sasa naendelea na masomo/kazi yangu kama kawaidaNimebalkiwa na madoa mwilini especialy sehemu za mgongo,na usoni (reception) kiasi.Hizi madoa zinanikera wandugu natamani kuzichokonoa zitoke !chenyenimefikiri mnishauri dawa isikue jamii ya kichini ili nitumie kuondoa hizi dot com kwa uso!Ahsanteni wapenzi !FB!
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mmmh....FB kumbe bado kigori hivyo mpaka bado unaugua tetekuwanga tu! Thats a joke....

  Wala usihofu...kuna tofauti kubwa kati ya makovu ya tetekuwanga na mkanda wa jeshi (wote ni virus). Wakati kovu la mkanda wa jeshi halifutiki kamwe...kovu za tetekuwanga huwa zinafutika bila ya kuweka kitu chochote. Na hufutika kabisa kiasi hutanotice kwamba kulikuwa na tetekuwanga.

  Kwa hiyo subiri tuu kovu zote zitafutika zenyewe taratibu na kupotea kabisa. Ukienda kutafuta product za kufuta utaibiwa tu pesa yako...
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dk.Riwa ubarikiwe sana ni miongoni mwa watu ntakaowapigia goti leo jion kumuomba mungu awapatie maisha marefu duniani na kuwajaalia afya njema!ahsante sana kwa ushauri wako!!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  polwe sana fb kula na matunda kwa wingi kwa ajili ya vitamin c ili kurutubisha ngozi dear
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante sana mpenzi!!
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole feis buku.
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nenda hosptal au ptia nakiete apo ukawaonyeshe kisura icho wao watakushauri...
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante mpendwa!!
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kunywa maji mengi!maunda kwa wingi,yatasaidia pia!
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole FB nakumbuka nikiwa mtoto nilishawahi kuugua ugonjwa huo, lakini mpaka leo hii ngozi yangu ipo ng'ada kabisa. Usihofu kuhusu hayo makovu kama Dr. Riwa alivyokushauri lakini usiwe na haraka ya kutaka yaondoke ghafla maana nimeona dalili ya kujichukia kutokana na makovu hayo. Hayachukua muda mrefu kutoweka.
   
 11. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante zoezi nimelianza last week!
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante sana mpenzi!! lets me keep on waiting!!
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Usisahau tu kupiga picha ya ukumbusho.lol!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Watu wengine wana bahati kweli..........
   
 15. S

  Shadya Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Pole fb, nadhani mimi tu ndo nilokuwa sijakupa pole dear.
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  du!! Hili nalo wazo!! Umenikumbusha
   
 17. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante love!!!ubarikiwe
   
 18. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Naomba nisaidiwe jinsi ya kuondoa dark spots katika ngozi. Makovu hayo yamekuja baada ya kupona tetekuwanga. Nitumie dawa au njia gani ili makovu hayo yaishe.?
   
 19. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmh....FB kumbe bado kigori hivyo mpaka bado unaugua tetekuwanga tu! Thats a joke....Wala usihofu...kuna tofauti kubwa kati ya makovu ya tetekuwanga na mkanda wa jeshi (wote ni virus). Wakati kovu la mkanda wa jeshi halifutiki kamwe...kovu za tetekuwanga huwa zinafutika bila ya kuweka kitu chochote. Na hufutika kabisa kiasi hutanotice kwamba kulikuwa na tetekuwanga.Kwa hiyo subiri tuu kovu zote zitafutika zenyewe taratibu na kupotea kabisa. Ukienda kutafuta product za kufuta utaibiwa tu pesa yako... NILIKUA NAKABILIWA NA TATIZO KAMA LAKWAKO,NIMENUKUU USHAURI NILIOPEWA NA DR.RIWA NIKO POA SOMEHOW!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  Asante dada feisbuku.
   
Loading...