Kuondoa madoa meusi kwenye upande wa ndani wa meno kinywani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuondoa madoa meusi kwenye upande wa ndani wa meno kinywani.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mgoda simtwange, Sep 19, 2012.

 1. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Napiga mswaki kila siku kwa kutumia colgate. Upande wa nje wa meno yangu ipo safi na yanang'aa sana. Tatizo lipo upande wa ndani wa kila jino kwenye kinywa ambako kuna madoa meusi. Hata nipige mswaki kiasi gani yale madoa meusi (uchafu mweusi) hayatoki/hautoki. Kimsingi haya madoa meusi upande wa ndani wa meno yangu ni kero kwangu. Watalaamu naomba mnisaidie niyasafishe namna gan?, nitumie nini? au dawa gani? nifanye nini ili sehemu ya ndani ya jino isichafuke?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,152
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nenda Aghakan kusafisha meno ni kama 69,000/= hivi au kama msuli mdogo nenda muhi2 ni buku 30.
   
Loading...