Kuona nyota nyota baada ya kipigo/makofi husababishwa na nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
Hii imetokea mara nyingi unapigwa banzi ghafla unaona nyota zinakuja na kupotea.. Sio nyota ni kama vialama vinavyo wakawaka vinatokeza Ila mitaani tunaita nyota nyota Ile Hali inasababishwa na nini..wanataasisi naombeni jawabu.
 
Kwanza kwa nn upigwe banzi huon utakufa? Yaani banzi la mti lilivo gumu vile mtu akupige uson Aise si dhan kama utapona labda useme banzi una maanisha nn?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hii imetokea mara nyingi unapigwa banzi ghafla unaona nyota zinakuja na kupotea.. Sio nyota ni kama vialama vinavyo wakawaka vinatokeza Ila mitaani tunaita nyota nyota Ile Hali inasababishwa na nini..wanataasisi naombeni jawabu.
Inakuwa nyota nyota kama vile umevuta mmea au?
 
Back
Top Bottom