Kuombwa msaada mara kwa mara na hata na wasionifahamu

Aiseee upo km mimi ilinilijua mapema sana kuwa nimeridhishwa kuwasaidia watu ovyo na wazazi wangu bas nikajifunza kuwa selfish in hard way...saivi naweza hata kumuambia rafiki yangu sina wakati zamani nilikuwa siwezi kabisa kusema sina nikililiwa shida
 
Wewe Tatigha ni sawa na mimi, yooote uliyoeleza hapo yananigusa moja kwa moja.

Shida yangu ni kwamba siku nikiwa na shida mimi hakuna hata mtu mmoja anayenisaidia.
Ila mimi mkuu sijawahi kupata shida ikashindikana, na mimi huwa wananitoa
 
hata mm nina shida hyo aic unawasaidia balaa wenzako lakin wenyew ht ukwame mia wanakuambia mh sna inaumiza sn
Ila mimi sijawahi Pata shida ya pesa kabisa, japo ni kidogo ila huwa hainisumbui
 
Ila mimi sijawahi Pata shida ya pesa kabisa, japo ni kidogo ila huwa hainisumbui


Mkuu...utakuwa na nyota ya punda...kubeba viroba popote!

Hizi nyota nyingine hazinaga mambo hayo..Ni MWAFWAAA!

BTW wahenga wanasemaga..'tenda wema uende zako..!
 
Wewe Tatigha ni sawa na mimi, yooote uliyoeleza hapo yananigusa moja kwa moja.

Shida yangu ni kwamba siku nikiwa na shida mimi hakuna hata mtu mmoja anayenisaidia.
Aisee mule mule kama Mimi exactly kabisaaa. Wakati mwingine huwaza ama namimi niache kusaidia ama kuwakopesha. Sijawahi fahamu
 
Kusaidia sana watu ni kikwazo kwa maendeleo yako.

Watu wanaweza kujua una moyobwa kusaidia kama wana pua ya kunusa hivyo. Halafu mavumba huwa hayajifichi. Unaweza kusema au kufanya kitu ambacho wewe unaweza kuona cha kawaida sana, wengine wakaona unazo.

Kuna kipindi nilichangia misiba vikundi vya watubtuliosima nao Whatsapp. Muda kidogo tu watu wawili wakaingiza mizinga ya kutaka "mkopo" wakasome.

Watu ambao hata si close na mimi.

Bado kidogo niwaambie waende bodi ya mikopo.

Kuna watu ukiwaendekeza watu wanakufanya ATM. Nikiweka "mikopo" niliyowapa wabongo ambayo hawajalipa inakaribia US $ 10,000. Na mimi si tajiri hivyo. Na kadiri unavyosaidia ndivyo wanavyotaka uwasaidie zaidi.

Imefika muda niseme basi.

Mimi nishaamua kuna watu wangu wa karibu tu na deal nao, wazazi na watu wa nyumbani. Mtu tofauti ni lazima anishawishi kwamba anastahili msaada wangu. Mimi sijasaidiwa sana na naendesha maisha vizuri, kwa nini mtu aninyenge?

Mimi mwenyewe nina mzigo wa kuweka maisha yangu sawa bado.
 
Kama una uwezo wa kusaidia usife moyo,Pengine umebarikiwa kupata pesa kirahisi au upepo wa pesa siku zote unakufuata ww ili upate kuwa faraja kwa wasionacho na utakapoacha basi baraka hiyo itakuacha mara moja na utapata ugumu wa kupata pesa.
Japo uwe na KIASI ili upate kufanya mambo ya maendeleo pia kwenye maisha yako kama kusomesha na kulea familia.
 
Back
Top Bottom