Kuombana sukari na chumvi ni kuendeleza umasikini?

hii yakusukuma nguo ilikuwa inanichosha jamani, kuna mtu nilimwambia hivi unapenda kushika shika pichu zangu? Embu tuheshimiane basi halafu mwanaume tena swala 5 sijui alikuwa nashida gani yule kijana
Labda alitak aibe moja akapigie puchu
 
Hiyo haina shida kabisa, sasa kuna ile Leo chimvi, baadaye sukari muda unga, mara kibakuri cha mboga mara kuopoa moto na anachukua moto nusu jiko , akitaka kuoga anapitia ndala , kisu sufuria sasa jamani kwanini usikae kwa mama yako kama huwezi kujitegemea?
 
Funzo! mimi kuna jamaa kila siku ana azima ungo wa kuchambulia mchele... uswahilini kuna shida
Sasa ungo buku jero tu ye kila siku anaazima khaa!

Mi ukiazima kitu kwangu Mara 4. ya tano nakwambia live nunua chako jirani
 
Back
Top Bottom