Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Kukazia Ugali, ni ile mtu amekosea kukadiria maji na unga. Kwahiyo wakati wa kupika unga unakuwa mdogo hivyo kufanya ugali kubaki ujiuji.Hili neno la kukazia ugali linanichekesha
Hapo ndio mtu anaenda kuomba unga kidogo wa kukazia. Na hii huwa siyo kwasababu labda kuna njaa.
Sometimes mahindi yapo ila mtu alichelewa tu kupeleka mashineni.