Kuomba Ruhusa Kisheria Ukakataliwa Na Kuondoka Kazini Bila Ruhusa Nani Alaumiwe?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Kuna Staff Mwenzangu Aliandamwa Na Kesi Fulani Ikamlazimu Aombe Ruhusa Mara Kwa Mara Akanyimwa Na Ilikuwa Muhimu Atoke Kituoni Akaondoka Hatimae Akashinda Kesi Aliporudi Ofisa Kaenda Mchongea Kuwa Kaondoka Bila Ruhusa Sasa Anaandamwa Kwa Utoro Hili Mnalizungumziaje Wana Jf?
 
[HASHTAG]#demigod[/HASHTAG] Fafanua Heshima Kivipi Kabla Mchongeaji Hajapoteza Kiungo Cha Mwili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom