kuomba radhi wateja wa kanda ya kaskazini mashariki wanaopitiwa na gridi ya taifa.

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
KUOMBA RADHI WATEJA WA KANDA YA KASKAZINI MASHARIKI WANAOPITIWA NA GRIDI YA TAIFA.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawaombaradhiwateja wakewanaopitiwanaGridiyaTaifawamaeneoya Dodoma, Singida, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Musoma, Iringa, Mbeya, Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Geita, Simiyuna MarakwakukosaumemeleoJanuari 04, 2016majiraya 10:54 alfajiri.

KukosekanahukukwaUmemekunatokananahitilafuyaghaflakwenyenjiayamsongomkubwawaKilovoti 32kutokaSamehadiHaleambayoilisababishanjiayaKaskazini – MasharikiKutokakwenye grid yaTaifa.

Mafundiwapoeneo la tukiotokaalfajiriwanaendeleakutatuatatizohili. TutawajulishamaramatengenezoyatakapokamilikanaUmemekurejeakatikahaliyakawaida.

Uongoziunaombaradhikwausumbufuwowoteuliojitokeza.

Imetolewana: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom