Kuomba radhi kwa Wema na Aunt nini kipo nyuma yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuomba radhi kwa Wema na Aunt nini kipo nyuma yao?

Discussion in 'Entertainment' started by kazikubwa, Oct 16, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nini kipo nyuma ya wasanii hawa kuomba radhi kwa jamii? Je tuamini kuwa sasa wamekua au kuna shinikizo la wamiliki wa bongo movies kwa ajili ya mafanikio yako binafsi?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Weka Link tuone walivyoomba radhi......
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Nadhani wamepata ushauri mzuri sehemu kwa manuafaa ya kazi zao.Ila kwa kuwa ni tabia zao kubadilika ni kazi sana ama sivyo wanatafuta attention ya magazeti tena coz wameona hawapati nafasi kwa siku mbili tatu.
  kama wanabadilika wabadilike kweli na waache kutafuta umaarufu kwa nguvu.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vitu maalum CCM 2015
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  najuwa soko lao la umalaya limepungua sana kwa hiyo hizo ni moja ya hatua katika disaster recovery programme yao ikifuatiwa na kujiingiza kwenye shughuli za kijamii kama kutembelea watoto yatima na kutoa bongo movie ya pamoja kisha kurudi upya kwenye soko la umalaya kwa kishindo as decent bi%$tches.

  Soon atakuja diamondo platn-ass beeebiiii...akiomba radhi kwa kuvua nguo zote na kubakia na kichupi kwenye rick ...can get rooooooseeeeyyyyyyy fiesta show 2012.

  Kweli sanaaa tunayo ila waigizaji hatunaaaaaa...big down bongo moviiiza.
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  bold in red- wale wauza nyama na wanaishi kwa abiashara hiyo hakuna ushauri wowote mzuri hapo

  bold in blue- over our dead bodies....hata sikumoja katika hao wawil hakuna atakayebadilika in a positive way except they will be worse n worse na wataishia kuhama nchi like waliowatangulia....ray d and mangi k.
   
 7. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kiinimacho...
   
 8. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Lets wait after a month and see!
   
 9. Ashura9

  Ashura9 JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 740
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 80
  Ni kweli kipi kinachowasibu?
   
Loading...