Kuomba mvua ili ijaze mabwawa ya maji tupate umeme na kuokoa kilimo

mbongowakweli

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
841
671
Kwaio ndio tumefikia hapo wabongo, kusali na kuomba ili mvua ije ijaze mabwawa yetu.
Tuokoe kilimo na muhimu zaidi tupate umeme wa kueleweka.
Je wenzetu wa UK, Japan, USA na nchi zingine huwa wanafanya hivi?
Ina maana tatizo ni mwenyezi Mungu kutokuteletea mvua au ni ufisadi, wizi na rushwa iliokithiri ndio chanzo cha matatizo yote?
Wadau leteni mada.
 
Hawajui waombacho. Lowasa alienda kulet Waganga wa kulazimisha mvua toka Thailand. Kwa nini serikali isifufue mpango huo wa Lowasa?
 
Kama watu wanaenda kuomba ili mabwawa yajae basi bado hawaijui siri ya kukosa umeme. Ukweli ni kwamba mtambo wa kuzalisha umeme pale mtera umekufa/umechakaa na hauwezi kuzalisha umeme hata kama maji yatafurika kwenye bwawa. Mtambo ulitakiwa kubadilishwa tangu mwaka 1991 lakini ukalazimishwa kufanya kazi kidogokidogo mpaka umeshindwa kabisa. Kaaaaaazi kwelikweli.
 
Inasikitisha kwa kweli, hata mpango wa Lowassa ulikua bomu tu, mie naona watanzaniatuko wavivu mno kutafakari
 
Kama watu wanaenda kuomba ili mabwawa yajae basi bado hawaijui siri ya kukosa umeme. Ukweli ni kwamba mtambo wa kuzalisha umeme pale mtera umekufa/umechakaa na hauwezi kuzalisha umeme hata kama maji yatafurika kwenye bwawa. Mtambo ulitakiwa kubadilishwa tangu mwaka 1991 lakini ukalazimishwa kufanya kazi kidogokidogo mpaka umeshindwa kabisa. Kaaaaaazi kwelikweli.

Ukweli ni wabongo kufikiria deal kila kukicha, hakuna uzalendo, wanaohusika wako busy na kujaza matumbo yao.
 
Jamii masikini zina imani na mungu sana, au kwa maneno mengine, imani ya mungu kwa sana huleta umasikini.
 
In God we Trust.

Endeleeni ku trust tu! Kama walivyofanya wakoloni, omba yesu mbinguni, wao wanachota maliasili! Au waarabu, dini kwa sana, baadae kutugeuza watumwa wao na kutufanyia ushenzi wa kila aina!
 
You don't know who you are talking to.

Look at the Benjamins and tell me what do you see.

In God we Trust
 
In God we Trust.

Ukiziangalia hizo in god we trust zote zishanyongewa dust sana tu.

So I guess inakuwa.

In God We Trust
In Dust We Must Bust.

Achana na fake puritanism watu wanajifanya wana dini hata kanisani hawaendi wanaenda wazee na masikini kula bure tu, kaangalie Afrika huko nyomi makanisani na miskitini, halafu angalia umasikini huko.

Angalia Scandinavia huko watu washashtuka dini kanyaboya. Netherlands watu washaanzisha kanisa linakubali kabisa kwamba hamna mungu na kanisa ni kilabu cha utamaduni tu. Uingereza huko kuna Askofu wa Church of England walimfanyia interview channel four anakwambia yeye anaamini hamna mungu, Askofu! Hawa ni wanazuoni waliosoma theolojia vilivyo.

Pole pole dunia inafunguka macho. Tatizo old habits die hard.

Endeleeni kuombea mvua tu na kuishi maisha ya kudra.
 
tho In God We Trust ila m mwenyewe mewahsngaa kwakweeli......................huh,hta sijawaelewa
 
Ukiziangalia hizo in god we trust zote zishanyongewa dust sana tu.

So I guess inakuwa.

In God We Trust
In Dust We Must Bust.

Achana na fake puritanism watu wanajifanya wana dini hata kanisani hawaendi wanaenda wazee na masikini kula bure tu, kaangalie Afrika huko nyomi makanisani na miskitini, halafu angalia umasikini huko.

Angalia Scandinavia huko watu washashtuka dini kanyaboya. Netherlands watu washaanzisha kanisa linakubali kabisa kwamba hamna mungu na kanisa ni kilabu cha utamaduni tu. Uingereza huko kuna Askofu wa Church of England walimfanyia interview channel four anakwambia yeye anaamini hamna mungu, Askofu! Hawa ni wanazuoni waliosoma theolojia vilivyo.

Pole pole dunia inafunguka macho. Tatizo old habits die hard.

Endeleeni kuombea mvua tu na kuishi maisha ya kudra.

Who is watu?

Wewe unaye fuata watu na mkumbo ndio maana unaonyesha jazba. Mwenye akili hafuati watu bali anakuwa kiongozi. Kwa jibu lako hapo juu, wewe ni mfuata watu ndio maana unarukia ooh Scand...., Engl... et al. I don't care about those people.

IN GOD WE TRUST.
 
Sasa wewe usiefuata mkumbo unaamini nini? Kama ni uislamu huo nao si ni kufuata mkumbo? Kama wewe ni mbantu basi uliza kwenu kwa akina ma babu walikua wanafuata dini gani!
Swala sio kufuata mkumbo, bali kuamini ndio kuona, na huwezi kung'ang'ania kuamini eti mungu akipenda tutapata mvua, au mungu akipenda foleni itapungua, au ufisadi utaisha au Tanesco itaongeza uwezo wake wa kuzalisha na kugawa umeme au dawasco itafanya mabomba yatiririke maji majumbani kwetu! Au Jairo atakubali makosa na kuwataja mafisadi wenzake!
Imani zetu za kibongo ndizo endelezo la umaskini wetu, na kuna wajanja wana take fully advantage of this!
 
Who said that? "Mungu akipenda" na nani kakwambia kuwa Mungu hapendi?

Tatizo lenu ni kufuata mkumbo. Kwani mvua ndio kitu pekee ya kuleta umeme!!! Kwani Tanesco ndo kitengo pekee kinacho weza zalisha umeme? Ndio maana nasema tatizo hapa ni kufuata mkumbo. Kwasababu mna Tanesco basi akili yooote ipo Tanesco. You guys can't think outside of the box, zaidi ya Tanesco.

Fikra inakataa kukubali kuwa Tenesco ndo pekee wanaweza zalisha umeme. Ndio maana Bongo bado mtaendelea kuwa gizani mpaka kihama. Akili ya kutegemea Tanesco na sijui Ngele** mtabakia hapo hapo na makelele ambayo kamwe hayata wasaidia hata kidogo na kuishia kwenye mitandao wazi.

Poleni sana Watanzania.

IN GOD WE TRUST
 
Basi wewe unayefikiria outside the box kuliko wabongo wenzako, waelimishe serikali ifanye nini kuondokanana majanga tulionayo, na sio umeme tu!
Wabongo tunajitahidi kuondokana na majanga haya, tumeshudia watu wakichimba visima pamoja na umaskini wao, wakitumia umeme wa jua, inventor na gesi za samadi. Wananchi hasa walalahoi "are thinking outside the box" as you call it, lakini uwezo wao mdogo, wanaitaji msaada, serikali yao iko wapi kuwasaidia, tunajua na tumeona nyumba karibu zote za viongozi wetu zina mwanga na maji, inamaanisha viongozi wetu wako too selfish?! Wao wanajiangalia wao tu?
Tumejitahidi lakini bila muongozo wa kiadilifu sidhani kama tutaondokana na kero hizi.
Pole ulizotoa hazitusaidii kama na wewe husaidii na kuleta mawazo yako ya ku "think outside the box"!
Au ya "IN GOD WE TRUST?!"
 
Hahaha..wale wachungaji jana walinifurahisha sana!
Naona walikosa kazi ya kufanya!
 
1wafalme 17:1 'Basi Eliya mtishbi, wa wageni wa giliadi akamwambia Ahabu, kama Bwana Mungu wa Israel aishivyo, ambae ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.'
Maombi ni sawa, lakini hao wanaoomba wanaufahamu uovu wa Taifa lao ili wauungame kwa matendo? [Serikali kupitia Ngereja ikamuumbe Kakobe msamaha]. Iungame kwetu raia kwa matendo.
Nasema kwa matendo kwa maana kwamba pesa ya kuweza kuleta umeme wa kutosha nchini ilikuwepo na pia ipo, tatizo ni wizi na hujuma. Viongozi warudishe pesa walizoficha kwenye account za nje zitusaidie kuleta umeme. Tunawafahamu na badala ya kuungama kinafiki inabidi tumaanishe kwa kuwalazimisha hawa wahujumu kurudisha pesa. Kiwira taifa linaufahamu uovu uliotendwa pale. Aungame alielitenda hilo na anafahamika. Arudishe pesa alizokopa kwa kuzugia uzalishaji umeme. Nchi imeibiwa na wezi wanafahamika, sasa tunataka kumuomba Mungu akaziibe pesa walizoficha kwenye mabenki mbali mbali aturejeshee? Ama ni sisi kuuondoa uovu kwa mkono wetu, kwa kuwashika na kuwalazimisha kuzirejesha pesa kwenye makusudio yaliyokuwa zimekusudiwa?
Mimi naomba tuache uvivu kwa kumsingizia Mungu kwa mambo ambayo tumetenda sisi na bado tunaendelea kutenda. Fikiria Ngeleja anaenda kumpokea katibu wake kwa kufuraha kwa jinai aliyosafishwa. Hapa hakuna dhamira ya kuacha wizi wala kuondoa tatizo la umeme.
.
 
Who is watu?

Wewe unaye fuata watu na mkumbo ndio maana unaonyesha jazba. Mwenye akili hafuati watu bali anakuwa kiongozi. Kwa jibu lako hapo juu, wewe ni mfuata watu ndio maana unarukia ooh Scand...., Engl... et al. I don't care about those people.

IN GOD WE TRUST.

Kati ayko wewe unayefuata watu walioandika "In God We Trust" katika noti, kwa kutohoa katika misahafu.

Na mie, niliyesema, ondoa noti, ondoa misahafu yote, angalia mambo yote kwa werevu wako mwenyewe, bila ya kuogopa kuitwa majina, yakiwamo minga, fisadi, muhuni, asiyemcha mungu, mchafu et cetera, et cetera (Yul Bryner voice in "The King And I") ...

Kati yetu wawili sie, kama kweli swala ni "kufuata watu", nani mfuata watu na nani trailblazer kama explorer anaye row North Pole?

Ni rahisi sana ku-kumbatia kinachokubalika, hata kama ni cha uongo.

Ni vigumu sana kukumbatia kisichokubalika, hata kama ni cha kweli.

Huo ndio mkondo wa maisha, jua jinsi ya kuupita.
 
Back
Top Bottom