Kuomba Duaa Baada Ya Swalaah Na Kunyanyua Mikono Inajuzu?

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
280
Points
250

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
280 250
SWALI: Assalam Alleykum je ni sahihi kujiombea dua peke baada ya 67669716_2385711195007591_5768835295566888960_n.jpg Swala Kwa kunyanyua mikono juu
JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho. Suala la kuomba du’aa baada ya Swalaah linahitaji ufafanuzi. Kuna suala kuomba du’aa ya pamoja baada ya Swalaah ya fardhi, Imaam anaomba na Maamuma wanaitikia. Au Maamuma anaomba du’aa mwenyewe mara baada ya Swalaah.

 

Forum statistics

Threads 1,389,933
Members 528,059
Posts 34,039,082
Top