Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

Sonko Bibo

Member
May 24, 2019
78
125
Bi mkubwa alikuwa anawaambia sistas wangu "Mwanaume sio mtambo wa kugawa pesa bure itakugharimu mwili wako"
Kauli zingine huwa zinaendana na muda sio kila mwaka zina maana maana alikusudia wasidange watatiwa na Idadi kubwa ya wanaume wasubiri kuolewa ni jukumu la mwanaume kutunza familia yake tatizo wanaume wengi wa leo ni maputo yaani wateke hadi wanaenda mbali zaidi wanaolewa na wanaume wenzao ili watunzwe.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,652
2,000
Aisee mkuu ni point sana hiyo
Hii inaletaga shida sana kama mume alikua mfanyabiashara mkubwa then akapass away mke kuendeleza miradi iliyoachwa inakuaga ni inshu saana hadi miradi mingi inakufa na kufilisiwa na ndugu kisa hajui ABC za biashara.
Ni vema kushirikishana aisee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom