Twenty Twenty One
Member
- Nov 25, 2020
- 73
- 170
Aliyewasilisha hapa JF ni jinsia gani?
Ni mwanaume banaView attachment 1653386
Hujaelewa KiongoziNi mwanaume banaView attachment 1653386
Mwanamke kama wewe nikikupata napiga mimba kwanza halafu namalizia mahari tunahama mkoa kabisa!Mwanaume atakula kwa jasho mimi nitazaa kwa uchungu
Kauli zingine huwa zinaendana na muda sio kila mwaka zina maana maana alikusudia wasidange watatiwa na Idadi kubwa ya wanaume wasubiri kuolewa ni jukumu la mwanaume kutunza familia yake tatizo wanaume wengi wa leo ni maputo yaani wateke hadi wanaenda mbali zaidi wanaolewa na wanaume wenzao ili watunzwe.Bi mkubwa alikuwa anawaambia sistas wangu "Mwanaume sio mtambo wa kugawa pesa bure itakugharimu mwili wako"
uacha uongomabinti njooni mjibu hii hoja hapa
kila mtu ana akili ykmabinti njooni mjibu hii hoja hapa
UBARIKIWE SANA WEWE UNAFAA KUWA WIFE KWA UTAMBUZI HUUNo wonder wanakufa mapema hawa watu.