kuolewa kwa wanawake wazuri

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
880
300
habari za sahii...
katika kuketi sehemu hivi nikiwa napata moja baridi isiyo na sukari.
Hivii... hawa wanawake wazuuri kabisa ambao hawataki kuolewa wanataka bata za mjini,hivi huwaga wanakuja kuolewa na watu wa aina gani? kama tunavyoona wasanii wenyewe wanaoaa watu wakawaida mno.

[HASHTAG]#karibuni[/HASHTAG]...
 
Isiyo na Sukari ni ipi hiyo ndugu maana sasa hivi Blood Sugar ni tishio.Kuna wengine ni wazuri na wana tabia nzuri 2%.waliosalia 88% wanapata kazi kweli kuolewa kwa sababu wanakuwa na tabia za ajabu ajabu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom