Kuolewa/kuoa bila kukutana kimwili, je, ukikuta mpenzi hana sehemu za siri utafanyaje?

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,814
23,078
Umefunga ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*, au ipo lakini umbile lake si la kawaida, hiyo ndoa vipi?
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa ulishaapa mbele ya baba paroko kuwa utamvumilia kwa shida na raha basi hakuna namna ni lazima uvumilie hadi kifo kitakavyowatenganisha
 
Unamuacha na kumshitaki kwa sababu alikudanganya na kukupotezea muda wako wa kukaa na shahawa zote hizo.
 
Umefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
Nafikiri kulikua na some sort of busara kwa waislamu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom