Kuoga mara mbili

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
32
141
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
 
Tatizo Nini Mpaka Uchukie Maji
Changamoto Naiona Kwenye Hii Thread
Members Watakukumbuka Sana Neno Kwa Neno
Mmoja Ameanza Kuhusu, Mbele
 
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Wewe ndio wa kuoa sasa maana hutadai hela za sabuni
 
Natamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mno
Ss unaumia nini si km hujiskii kuoga/hujachafuka si unaacha tu huogi esp km uko mikoa yenye baridi na labda unalala peke yako
 
Dada unaamka asubui upande daladala ufike kazini ushinde weeee jion upitie sokoni umo mwote unapishana na watu mbali mbali ugombanie daladala uludi nyumban upike afu ulale bila kuoga my friend mwili hua unakataa kabisaa kulala
 
Back
Top Bottom