Kuoga kwazua balaa!

Nasema

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
556
344
Kuna jamaa ana ugomvi na girl wake. Kanisimulia nimecheka mno ndipo nikamshauri.

Ni hivi:
Huyo girl alienda home kwa boy akalala huko, wakado. Asubuhi wakawa wamepanga kwenda town kununua vitu fulani. Dada akaamka akaoga akajiandaa tayari kwa kutoka. Yule kaka yeye si akakataa kuoga, eti haina shida ataoga jioni wakirudi. Ndio ubishani ukaanzia hapo, dada anasema kaoge, kaka anasema no!

Huyo kaka anakaa nyumba yenye apartments mbili, jirani yake naye ni mwanaume bachelor, kusikia hivyo akamshangaa mwenzie vipi hutaki kuoga! Kusikia hivyo jamaa akamchenjia girl wake kwamba eti anatoka na neighbour wake ndio maana they share opinion!

Sasa hivi si vituko jamani, mtu mzima kuhimizwa kuoga!!
 
hilo jamaa chafu huyo girl alitose tu, wewe unakula mzigo halafu huogi paaa! Huyo neighbor ale tu huyo girl
 
Huyo jamaa lazima atakuwa ndugu yangu huyo! sie huwa tunaoga siku mvua ikinyesha
 
Na mnapewa V mnakula vzr tu? Aibu zenu! Mie ukiwa na majasho sikupi kabisa.

QUOTE=Mungi;5049209]Huyo jamaa lazima atakuwa ndugu yangu huyo! sie huwa tunaoga siku mvua ikinyesha[/QUOTE]
 
Sasa huo ubishani ulifanyika hadi jirani akatoa opinions zake na wao wakasikia?

Note:uswazi hakuna apartments, kuna 'ua'
 
Na mnapewa V mnakula vzr tu? Aibu zenu! Mie ukiwa na majasho sikupi kabisa.

QUOTE=Mungi;5049209]Huyo jamaa lazima atakuwa ndugu yangu huyo! sie huwa tunaoga siku mvua ikinyesha
[/QUOTE]

Kula lazima, kuoga hiyari.
Kisa cha kunitafutia ngiri mtoto wa mwanamke mwenzio?
 
kwetu hatutoki majasho...

Excuse haziishi kisa kupitisha maji mwilini, teh teh tih kwiii!! ni aje lakini ndugu yangu St. Paka Mweusi[/QUOTE]

Mkuu Baba V , mimi ni mzima kabisa ndugu,ametaka kunishangaza huyu dada anayetaka kuanza tabia ya kunyimana kisa maji,hajui kuna makabila mengine kuoga ni anasa...
 
Last edited by a moderator:
Hata mim siogagi! Kuna harufu za wanawake wegne nzuri hutahisi hata kuoga zaidi ya kuosha u...u...m..e tu.
 
Hata mim siogagi! Kuna harufu za wanawake wegne nzuri hutahisi hata kuoga zaidi ya kuosha u...u...m..e tu.

dah mkuu umenikumbusha 1 tym nili-do na shombeshombe mm1 alikuja lunduno na harufu kabambe ya karafuu sijui mashetani gani yale, ila nachokumbuka sikuoga siku nzima ili ka-smell kasiishe, achilia shuka hazikufuliwa mwezi mzima..chezea mwanamke mnukiaji ww?
 
Hii kali..usikute lilikua jini ndugu yangu....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom