Kuoana agemates(umri mmoja) hii imekaaje!?

candymarry

Member
Aug 4, 2012
32
8

Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?
 
Ni kawaida tu as long as mnapendana. Nina rafiki yangu na mkewe wamepishana 3 days, mke mkubwa, na wako kwenye ndoa huu mwaka wa kumi na moja swaafi kwa heshima zote. Sio tatizo kabisa.
 
Kumbe umri nao una determine maisha mtakayoishi katika ndoa!!!!
 
AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!! A person is as old as he feels!

Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!
 
hii sio tatizo kabisa kikubwa ni dhamira na jinsi mtakavyochukulia ninyi wenyewe. ndoa ni kati ya watu wawili sasa sijui wewe huyo wa kukupa stress anatoka wapi kama nyie mnapendana na kila mmoja anajua na kutimiza wajibu wake. dont let him/her go kwasababu hiyo u might regret my dear age sio ndoa ila mtu mwenyewe. we jaribu kuchukua std seven unaweza ukapiga ukunga ukakimbia nyumba.
 
.Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!
lara 1 , kwa hiyo "Age is NOT just a number"?
 
Last edited by a moderator:

Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?

Ishukuriwe kwamba baada ya mapinduzi ya Elimu, na watu kufunguka macho kwa kuona dunia inavyokwenda Jamii yetu imeanza kubadirika.......Umri wa wanandoa hauna cha kufanya katika ndoa
 
Hoja zilizopo nyuma ya ishu hiyo ni kuwa mwanamke huwa anawahi kuzeeka kabla ya mwanaume. Kwahiyo mwanamke inabidi awe mdogo kiumri ili asije akazeeka wakati mumewe bado atakua kijana kwani wanaume wanaendelea kuwa vijana kwa muda mrefu.. na hivyo kuleta hatari ya dogodogo. Pia kuna madai kwamba mkioana watu mnaolingana heshima itapungua ndani ya nyumba.

MY TAKE: Zamani, enzi za baba zetu, ni kweli akinamama walikuwa wanawahi kuzeeka sababu ya nature ya kazi walizokuwa wanafanya, staili za maisha na IDADI ya watoto walioikuwa wakizaa (8 - 12). Sidhani kama kigezo hiki bado kina mashiko ukizingatia wamama wengi siku hizi wako kisasa, sop sop, wanakula fresh,kazi laini laini, full viyoyozi kila mahali, hakuna tena kupuliza moto.. n.k mambo yote gesi, umeme. Siku hizi mtu kazaa saana ni watoto wawili watatu tena wanapishana miaka mi5. Heshima kama ipo ipo tuu kama haipo ndio hivyo tena.
 
Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?[/QUOTE hii kitu nahic kama inakuhusu hivi moja kw moja! Mie pia n muhanga w hii ki2but kama mnaelewana n mmwkubaliana mwaweza oana coz nyie ndio mtakaokuwa ktk game hao wengine n masha biki. b
 
AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!! A person is as old as he feels!

Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!

Wee lara 1 wewe!!! Umenichekesha sana leo! Haya bana! Mimi mke wangu kanizidi 2 yrs, tuko ndoani 21 yrs now na tunaishi kama tumeoana Jana! Ombeni sana kwa Mungu mpate wake/waume bora!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Bora kidume kikue kwanza aisee! Mtoto wa kike katika malezi ya kiafrika, amelelewa toka mdogo katika mfumo wa kulea familia!
Hivyo, wakati wowote ule, anaweza kuwa mama. Lakini kwa upande wa boys, malezi ni tofauti kabisa!
Maisha wanajifunzia ukubwani!

Boy akiwa 26 to 20 kwa girl, wataendana!
 
Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?[/QUOTE hii kitu nahic kama inakuhusu hivi moja kw moja! Mie pia n muhanga w hii ki2but kama mnaelewana n mmwkubaliana mwaweza oana coz nyie ndio mtakaokuwa ktk game hao wengine n masha biki. b

Hapana mkuu hainihusu mojakwamoja ila ni jambo ambalo nimelifikiria kutokana na kuona watu wangu wa karibu
 
Ni kawaida tu as long as mnapendana. Nina rafiki yangu na mkewe wamepishana 3 days, mke mkubwa, na wako kwenye ndoa huu mwaka wa kumi na moja swaafi kwa heshima zote. Sio tatizo kabisa.

Wew 3 days tu?? Mbona bibi yetu mbunge aliolewa na kijana wetu yule na maisha yalienda tu?? sema baadae ndiovyo, Ahya angalia tafauti ya miaka yao 25-65, parefuu..
 
I thnk it works km mwanaume kashajielewa,woman ht 18 anaweza kuhandle marriage,
ndo mana relationship wt a cougar works kama mwanaume walau kashafikisha 25 hv,ht km woman ni 40 ngap km kna mariah carey,madonna etc uhusiano unaendelea vzur tu
 
AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!! A person is as old as he feels!

Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!

Mkuu, kibailojia wanawake wanakomaa kiakili mapema zaidi kabla ya wanaume.
 
Kwani vifanyio navyo vina vinaangaliana kwa agemet?

Mzee wa Rock hebu rekebisha lugha badala ya vifanyio isomeke "vifanyanio" kwa sabu watu huwa hawafanyi ila huwa wanafanyana chezea Nomino , vtenzi shirikishi, na mofimu wewe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom