Kuoa raha yake nini maana katika maisha kunaving nipeni jibu

Wewe kisebengo, Jifunze kuandika.
Fesibuku mmeikimbia mnakuja huku kuharibu hali ya hewa!!!
 
Mkuu

Kuna raha nyingi ,mimi nina mwaka wa tano huu kwenye ndoa yafuatayo nafaidi

1.mke wangu ndio rafiki niliyetaman kuwa nae karibu sana muda mwingi,sasa tupo wote,so tupo wote na ni mshikaji wangu kinouma

2.sichoti maji tena maji kwingine,nakunywa maji kwangu,nimekwepa kabisa zile karaha za maji

3.nilikuwa nafuja hela balaa,now tupo good wife ana make money balaa kwenye biashara

4.napenda draft ,karata,game zi ngine za soft ware,ila sasa kwakuwa mshikaji nipo nae,kila jioni ananisubiri ,yaan tunacheza balaa,mpka muda mwingine tuna maindishana ka tupo kijiwe cha draft, yaan hadi raha

Na sasa daughter amekuwa kuwa naye anacheza baadhi ya gemu,ko wote watatu tukijoin hadi raha...

5.maendeleo ya kiroho nilikuwa hovyo sana,mshikaji wangu tumewekana poa sana,kila siku namshukuru mungu sana kwa huyo rafiki angu wa ukweli

Kuna mengi yenye faida,lakini changamoto Zipo na ni za kawaida sana,,, kikubwa wew unataka kula ili uishi au unaishi ili ule
Hongera mkuu,vipi akizeeka utaendelea kumpenda?
 
Raha yake ni kulala.na kajoto flani ivi afu mda wote naiti,mchana, asubui,jioni unakula mbunye, michezo ya kunyoana vuzi, kulambana vikojoleo, kutiana stress na kupeana raha, mda wote kuona makalio na mbunye ya mkeo Inakupa cofidence kinyama, mmoja akisafiri lazima uumiss

aisee ni mengi sana japokua stori za watu kugongewa humu zinaweza kukukatisha tamaa, zipuzie na karibu kwenye uwanja huu wa malavdav

Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
 
Wanaogongewa wengi ni wale wasiojali wapenzi wao....wachache ni wale waliooa malaya ndio wanasumbuliwa na kuchapiwa virus!
 
9d3a56477f7a3472751a8028331aa914.jpg
Charge simu kwanza, ndipo urudi
 
Back
Top Bottom