Kuoa raha yake nini maana katika maisha kunaving nipeni jibu

Mkuu

Kuna raha nyingi ,mimi nina mwaka wa tano huu kwenye ndoa yafuatayo nafaidi

1.mke wangu ndio rafiki niliyetaman kuwa nae karibu sana muda mwingi,sasa tupo wote,so tupo wote na ni mshikaji wangu kinouma

2.sichoti maji tena maji kwingine,nakunywa maji kwangu,nimekwepa kabisa zile karaha za maji

3.nilikuwa nafuja hela balaa,now tupo good wife ana make money balaa kwenye biashara

4.napenda draft ,karata,game zi ngine za soft ware,ila sasa kwakuwa mshikaji nipo nae,kila jioni ananisubiri ,yaan tunacheza balaa,mpka muda mwingine tuna maindishana ka tupo kijiwe cha draft, yaan hadi raha

Na sasa daughter amekuwa kuwa naye anacheza baadhi ya gemu,ko wote watatu tukijoin hadi raha...

5.maendeleo ya kiroho nilikuwa hovyo sana,mshikaji wangu tumewekana poa sana,kila siku namshukuru mungu sana kwa huyo rafiki angu wa ukweli

Kuna mengi yenye faida,lakini changamoto Zipo na ni za kawaida sana,,, kikubwa wew unataka kula ili uishi au unaishi ili ule
Ndoa ina raha sana ukimpata soulmate wako, ila wale wenzangu na mie waliooa kwa sababu tu wamependa kuwa na familia cha moto wanakipata
 
Mkuu

Kuna raha nyingi ,mimi nina mwaka wa tano huu kwenye ndoa yafuatayo nafaidi

1.mke wangu ndio rafiki niliyetaman kuwa nae karibu sana muda mwingi,sasa tupo wote,so tupo wote na ni mshikaji wangu kinouma

2.sichoti maji tena maji kwingine,nakunywa maji kwangu,nimekwepa kabisa zile karaha za maji

3.nilikuwa nafuja hela balaa,now tupo good wife ana make money balaa kwenye biashara

4.napenda draft ,karata,game zi ngine za soft ware,ila sasa kwakuwa mshikaji nipo nae,kila jioni ananisubiri ,yaan tunacheza balaa,mpka muda mwingine tuna maindishana ka tupo kijiwe cha draft, yaan hadi raha

Na sasa daughter amekuwa kuwa naye anacheza baadhi ya gemu,ko wote watatu tukijoin hadi raha...

5.maendeleo ya kiroho nilikuwa hovyo sana,mshikaji wangu tumewekana poa sana,kila siku namshukuru mungu sana kwa huyo rafiki angu wa ukweli

Kuna mengi yenye faida,lakini changamoto Zipo na ni za kawaida sana,,, kikubwa wew unataka kula ili uishi au unaishi ili ule
Haswa hili ndo jibu Mimi na uliza wananijibu ovyo asante sanaa ngoja niowe mwakani napatatabu
 
Back
Top Bottom