Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,706
- 4,759
Nimeelewa wakubwaHata ukiwa na mke, huwa wanakimbia... Au wanatafuta divorce
Nimeelewa wakubwaHata ukiwa na mke, huwa wanakimbia... Au wanatafuta divorce
Una umri wa miaka mingapi? tuanzie hapo kwanzaSwali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
kwenye kufanya mambo mengine nashauri kikubwa zaidi iwe kutafuta pesa kwa bidii, walau ukiwa na pesa hutaona madhara ya kutokuoa..Kama mwili wako unawaka tamaa nabhuwezi kujizuia kuoa ni lazima, lakini kama unaweza kujizuia kushiriki uzinzi ndugu yangu achana na kuoa fanya mambo mengine
Hiyo ni kwa mujibu wa Uislam.
Ukiamua kufuata sheria za Mungu, mali watarithi ndugu zako.
Ukiamua kufuata unavyotaka mwenyewe pia fuata, mengine utakwenda kujua ukifika kwa muumba wako.
Kweli, kwasababu sio muislam kwanini wafuate sheria za kiislam juu yako.Muhimu ni kuandika wosia juu ya hatima yako, ukiandika mgawo wa mali kwa watoto wako hakuna cha Uislamu wala nini!!
Interest
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Pia soma: Kwani lazima kuoana?
hata yeye pia atakua mzee, na wanvyozeekaga mapema[/QUITE]Nimesemea kuzeeka wewe, ukishazeeka na huna mke wala watoto unafikiri ni nani atakaekutunza/kukuandalia nguo, chakula na mahitaji yako mengine?
Najua hospitali zipo, lakini umefikiria kuwa hata huko hospitali watahitaji mke au watoto kwa ajili ya kukuhudumia, kukuogesha, kukuvalisha, kukulisha pamoja na mahitaji mengine? Au kwa akili yako unahisi madaktari watakufanyia yote hayo!kuna hospitali
Kwahiyo akikukimbia ndio hutoweza kuhudumiwa na watoto au hutoweza kuoa mke mwingine?hapa hata yeye atakukimbia
Kufika menopause kwani kutakuzuia wewe kuoa mke mwingine na kupata watoto?yeye anafika menopause pia
Unapokuwa unafikiria kitu tumia akili yako ipasavyo na ufikirie leo na kesho pia. Wake zetu ni wasaidizi wetu pia.
Uko sahihi na sikulaumu kama bado umdogo. Je kama hao ndugu zako pia nao wanaumwa itakuaje?usiku unakumbatia mto
ukiumwa unauguzwa na ndugu
Kweli, kwasababu sio muislam kwanini wafuate sheria za kiislam juu yako.
Uko sahihi na sikulaumu kama bado umdogo. Je kama hao ndugu zako pia nao wanaumwa itakuaje?
marafiki watakuuguzaUko sahihi na sikulaumu kama bado umdogo. Je kama hao ndugu zako pia nao wanaumwa itakuaje?
Sawa. Kuwa uyaone!marafiki watakuuguza
Kuoa si lazima.Jikite kwenye mada, kuoa ni lazima? Achana na hoja ya mirathi, sio mojawapo ya lengo la kuoa.
Sawa. Kuwa uyaone!Kwani ikiwa mkeo naye anaumwa itakuwaje! Ukiumwa nenda hospitali, huduma zote utapata huko... uwe na fedha tu.
Unaweza kuoa ukiwa mzima huna disabillity ukapata na watoto. Ulemavu ukija mke na watoto woooote wakakukimbia kwa sababu ya ulemavu wakoAssume katikati upate disability yeyote afu huna msaidizi yani mke wala mtoto utabaki kulaumu ndugu tu
Hitaji la maandiko matakatifu, ila kama huamini katika biblia ama quaran si shida. Kuna mambo mengi ambayo kwa mapungufu ya kibinadamu si budi kuishi na mwenza, achilia mbali kuzaa kuna mahitaji ya kijamii kusaidiana katika magonjwa, uzeeni na mikwamo mbalimbali..
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Pia soma: Kwani lazima kuoana?