Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,043
- 158,736
Bora umpe taarifa mapemaaaa.
Hehehe olewa tu ila uwe mentally pripeadi
Hehehe olewa tu ila uwe mentally pripeadi
Kwakweli, kidogo yangu haiwezi kuwa yako. Refer mzee wa vijisenti.
Tatizo nikimwambia kaka zangu pasua vichwa anaona nambania kumbwe namhurumiaBora umpe taarifa mapemaaaa.
Tatizo nikimwambia kaka zangu pasua vichwa anaona nambania kumbwe namhurumia
Haupo mkuu kila mmoja anaishi kivyake mbali hata kuonana ni kuomba Mungu.Nilivyoelewa J ni domo zege, kaona ajiokotee mpira uliokufa.
Na je, hapo urafiki/ukaka bado upo? Maana hapo itabidi aishi kwa kuwaza kwamba kiporo kitapashwa.
Haupo mkuu kila mmoja anaishi kivyake mbali hata kuonana ni kuomba Mungu.
Sijuiwewe binafsi ndiyo nini?
Naomba basi. Halafu mbona muamala wangu siuoni?Unahitaji fimbo kubwa.
Nawe pia. Endelea kutupenda vivo hivyo mdogo wetu. Mungu akubariki.USIKU MWEMA KWA WANA JF WOTE NAWAPENDA SANA MDOGO WENU