Kuoa ni kujilipua ujasiri unahitajika

Na Adamu angekuwa na akili angemuokoa Hawa, hadi leo tungekuwa tunakula bata Eden.

Ndio basi tena tunapambana na hali zetu.
Mungu alimuumba adam ili amtawale hawa ila hawa akajifanya kichwa ngumu kumbe hamna kitu mpaka leo tungekuwa uchi bustani ya Eden
 
Na Adamu angekuwa na akili angemuokoa Hawa, hadi leo tungekuwa tunakula bata Eden.

Ndio basi tena tunapambana na hali zetu.
usiniambie adam alikuwa hana akili
na eden tungekuwa tunakula matunda tu bata noo
 
Back
Top Bottom