mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,814
- 2,376
Habarini za jioni wapendwa.Kuna wakati nilisoma kitabu kimoja ivi " ndoa yangu"Kilikua kinaeleza sababu ya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani.Mojawapo ya sababu ni kwamba kuna watu humu duniani hawajaumbwa kuoa wala kuolewa.Watu hawa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu tu ya mitazamo ya jamii.Ikitokea mmoja wa wanandoa ndio ameumbwa hivyo basi kuna uwezekano wa ndoa iyo kuingia kwenye migogoro.Hili lina ukweli?Karibuni kwa michango yenu.