Kuoa name kuolewa.

mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,809
2,371
Habarini za jioni wapendwa.Kuna wakati nilisoma kitabu kimoja ivi " ndoa yangu"Kilikua kinaeleza sababu ya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani.Mojawapo ya sababu ni kwamba kuna watu humu duniani hawajaumbwa kuoa wala kuolewa.Watu hawa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu tu ya mitazamo ya jamii.Ikitokea mmoja wa wanandoa ndio ameumbwa hivyo basi kuna uwezekano wa ndoa iyo kuingia kwenye migogoro.Hili lina ukweli?Karibuni kwa michango yenu.
 
ni kitabu gani hicho? kimepitishwa katika machapisho yanayotambulika Oxford? usisome vitabu vya shigongo ukaleta reference za kihuni hapa.
 
ni kitabu gani hicho? kimepitishwa katika machapisho yanayotambulika Oxford? usisome vitabu vya shigongo ukaleta reference za kihuni hapa.

Sio cha shigongo,Ni cha watu wa dini maana muandishi alikua anareffer kwenye biblia.
 
Sasa hao wameumbwa kuwa michepuko ya walio oa au kuolewa?? Mmmmnh...
 
habarini za jioni wapendwa.kuna wakati nilisoma kitabu kimoja ivi " ndoa yangu"kilikua kinaeleza sababu ya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani.mojawapo ya sababu ni kwamba kuna watu humu duniani hawajaumbwa kuoa wala kuolewa.watu hawa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu tu ya mitazamo ya jamii.ikitokea mmoja wa wanandoa ndio ameumbwa hivyo basi kuna uwezekano wa ndoa iyo kuingia kwenye migogoro.hili lina ukweli?karibuni kwa michango yenu.

hmmm!..
 
Kwani huyo mwandishi aliweka mistari gani kama rejea ya hoja yake?

1Wkr7:32 nakuendelea.Na akawa anaelezea watu mbalimbali kwenye bibblia ambao hawakuwai kuoa hadi vifo vyao.
 
Back
Top Bottom