Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Mkuu unaweza kuona unaishi vizuri kumbe ushalishwa ile kitu.
Kuna jamaa kamtoa baru mama yake mzaz na kumtupia mizigo nje kisa tu mkewe hatak mama mkwe aje kwake.

Masikini mama wa watu alikuja kutibiwa ila ndo hivyo mwanae kashawekwa kiganjani.

Sijali nimelishwa nini, sijali watu wengine wanafikiria nini... Najali kuwa mimi naenjoy ndoa yangu, na naishi kwa amani na furaha na familia yangu...

Hehee,kwani makabila mengine hawana hiyo kitu na tena bora mhaya

Hehee,kwani makabila mengine hawana hiyo kitu na tena bora mhaya

haaah haaah Aisha ww acha utani.
Wahaya ni hatari! Unalishwa kitomvu cha mtoto mchanga aliekufa leo, hapo ndo umekwisha mana ili mume awe na kauli kwa mkewe labda yule mtoto afufuke aongee na hilo ni impocbo.
So mume atakua ***** tu anapiga kaz na hela zote mke anapanga matumiz kama ni kujenga kwao, kusomesha ndugu zake n.k
kwa kweli wahaya ni utata japo kwenye mambo yetu yale wapo full maujanja!

Ukishamkamata mumeo kwenye mambo yetu yale kuna haja gani tena ya kumlisha malimbwata. Waulize wanaume ukishajua kumpa kitu roho inataka lazima akusikilize bana.
haaah haaah Aisha ww acha utani.
Wahaya ni hatari! Unalishwa kitomvu cha mtoto mchanga aliekufa leo, hapo ndo umekwisha mana ili mume awe na kauli kwa mkewe labda yule mtoto afufuke aongee na hilo ni impocbo.
So mume atakua ***** tu anapiga kaz na hela zote mke anapanga matumiz kama ni kujenga kwao, kusomesha ndugu zake n.k
kwa kweli wahaya ni utata japo kwenye mambo yetu yale wapo full maujanja!

Hii ni kwa wale ndugu zanguni mlio karibu kuoa wale ndugu zangu jirani zangu waliokuwa wakwe zangu wa bukoba mkoa wa Kagera sipendi muachane ndani ya ndoa ila lengo langu ni kukuaminisha uliye nae ukikosea kumtumia hakika utageuzwa kampuni ya uda yaani una uza hisa za milion 250 huku wewe una thamani ya mabilioni na mwisho unaenda kuwasumbua wale jamaa wanaovaaga makoti yao meusi na vitambaa vyeupe kule mahakamani...sasa basi hakikisha kabla haujaamua kufunga ndoa soma haya na kama unaweza andika kwenye karatasi ukikaribia jihalalishe mwenyewe kwanza usiangalie wakina shemeji ama nani wakati wa hukumu hutokuwa nao hao

1..Je huko vyema kwenye tendo la ndoa..sipendi kukuachanisha la hasha wamiliki wa kubwa wa hisa za kampuni kutokea kagera lazima moja uwe na nguvu halisia usikimbilie zile za kwenye mabango ya siolipiwa hata kodi wanaongeza nguvu za kiume na kurudisha ndoa la hasha huwa ikifika muda zinaisha na ukikuta wameshakufa wewe ndio lala salamaa sisemi umwache la hasha napenda uwe na amani milele badala ya kuishi ndoa ya mavumiliano

2.Ujitayarishe kujiamini..ndugu yangu huwa katika vipaji wanawake wa Kagera walichopewa ni kujiamini utakuta hana hata hela la hasha anavyokupeleka utahisi ndie mwekezaji mwenye hisa kuliko wote katika hili usidanganyike kuwa kimya ati nitaharibu ndoa loh akikuwahi yeye anakumaliza

3.Hakikisha umejiandaa na maisha kikweliii na si kujaribu ..zamani nikuwa nasema wenzangu wa kichaga pale wa machame ndio wakiolewa hawataaki mchezo lazima ukajenge kwao ukikomaa kakutafutia wezi wanakumalizaa njiani kwake si dili

ONYO
MAWAZO YENU VIGEZO NA MASHARTI YA PAW KUZINGA TIWA
Na godoro uliwekee plastiki kabisa maana! na ukishindwa kum dawasa ujue lazima atafute nshomile mwenzake

Kaaaazi kwelikweli!!!! Zama hizi bado mnaweka demarcation za kikabila!!! Hivi mhaya aliyezaliiwa na kukulia Bukoba na yule ambaye kazaliwa na kukulia mjini watafanana kiutamaduni?? Na bado haujawazungumzia HYBRID HAYAs. Badilikeni jamani coz muda umetutupa mkono tayari!!!!

Mkuu unaweza kuona unaishi vizuri kumbe ushalishwa ile kitu.
Kuna jamaa kamtoa baru mama yake mzaz na kumtupia mizigo nje kisa tu mkewe hatak mama mkwe aje kwake.

Masikini mama wa watu alikuja kutibiwa ila ndo hivyo mwanae kashawekwa kiganjani.

acha bana... duuh.. kalishwa nini sasa?

wazushi wazushi utawaweza???,ikija makabila sio yao utawaona na kimbelembele cha kuclaim they-know-it-all kushinda wahusika wenyewe wa makabila yenyewe,utatajiwa hadi mila usizozijua hatuamini upuuzi wenu HATUDANGANYIKI TUMEWASHTUKIA!!!!!!!!!!!!

Sijali nimelishwa nini, sijali watu wengine wanafikiria nini... Najali kuwa mimi naenjoy ndoa yangu, na naishi kwa amani na furaha na familia yangu...

Mkuu always wanaolishwa ile kitu husema kama hv.
Ww itakua tayari hayseeee

mark my words

acha bana... duuh.. kalishwa nini sasa?

Mkuu ni kitomvu cha mtoto mchanga aliekufa then wanaweka huko chini kwa cku 3, kikitoka kinakaushwa juan then kinasagwa na unaungiwa kwenye mboga. Ukila tu mwana umekwisha yani ili uwe na kauli kwa mkeo ni sharti yule mtoto afufuke aongee na hilo ndio impocbo!
So utabaki kuwa mateka tu.

Kaaaazi kwelikweli!!!! Zama hizi bado mnaweka demarcation za kikabila!!! Hivi mhaya aliyezaliiwa na kukulia Bukoba na yule ambaye kazaliwa na kukulia mjini watafanana kiutamaduni?? Na bado haujawazungumzia HYBRID HAYAs. Badilikeni jamani coz muda umetutupa mkono tayari!!!!

Mkuu hao wanaokulia dsm bibi zao wako huko Bk.
So wanaambiwa kabisa ukipata mwanaume mwenye pesa tuambie.
Na kuna hii anachukua bao lako anafunga kwenye kitambaa then anapeleka kwao.

Sasa ule wako umsaliti au umtose ukaoe mwingine......kinachofuata....... nitarudi baadae

inywe bantu especially(kithungu chacha!) abanyamahanga! Mtuleke inywe! Itwe ntwenda birungi byo mukai,amaizi bojo!mulye ebitoke bingi mgasheshe!

sasa jamani kama wahaya are like that,ni wapi ambao wanafa?
Wanafaa sana ....naona watu wengi wanaangalia negatives tu............................laiti wangejua. ...
1. Hakuna kabila linafunzwa kumlea mume kama wahaya.........mfano mila yao moja ni kuwa mwanamke uliyeolewa ni mwiko kumgeuzia mumeo mgongo usiku kitandani. Yaani unatakiwa ulale kimachale, mume akigeuka tu nawe unageuka.....ili mradi 'mbele' kuwe mbele ya mumeo mnatizamana.
2. Wanafunzwa heshima- kumpa senene mumewe kama ishara ya heshima
3. Utii- wanafunzwa kutii mume na wanatii kweli (mf, wanakatazwa kula senene wanatii kwa kutokula ingawa wanakula kwa kificho huko kwenye "Omukisiika" na pia
4. Wanafunzwa kuwa na haya.......mwanaume gani anayependa mke mapepe na mwenye macho walu walu?

Msiangalie mapungufu tu mnawanyima haki ya kupendwa wale ambao bado wapo. ..........(Wahaya hebu jiteteeni basi au mliowaoa hebuni wasafisheni bana wake na mashemeji zenu)

Ta muganyizi!,Ta Rugemalila and infwact abalangila bona ba katoma,kanyigo,kiziba mulio bojo! Nbatujuma haba ka nimtelele mwanasheria wange chei this is too much bojo,itwe ba katoma n'ngu tuli ba zinzi!

Wanafaa sana ....naona watu wengi wanaangalia negatives tu............................laiti wangejua. ...
1. Hakuna kabila linafunzwa kumlea mume kama wahaya.........mfano mila yao moja ni kuwa mwanamke uliyeolewa ni mwiko kumgeuzia mumeo mgongo usiku kitandani. Yaani unatakiwa ulale kimachale, mume akigeuka tu nawe unageuka.....ili mradi 'mbele' kuwe mbele ya mumeo mnatizamana.
2. Wanafunzwa heshima- kumpa senene mumewe kama ishara ya heshima
3. Utii- wanafunzwa kutii mume na wanatii kweli (mf, wanakatazwa kula senene wanatii kwa kutokula ingawa wanakula kwa kificho huko kwenye "Omukisiika" na pia
4. Wanafunzwa kuwa na haya.......mwanaume gani anayependa mke mapepe na mwenye macho walu walu?

Msiangalie mapungufu tu mnawanyima haki ya kupendwa wale ambao bado wapo. ..........(Wahaya hebu jiteteeni basi au mliowaoa hebuni wasafisheni bana wake na mashemeji zenu)
Dah!!!! Ndio maana jamaa yangu alikuwa ananiambia kijana ukihitaji mke nenda uoe muhaya sasa nimeelewa kwanini halafu wife wa jamaa ni mhaya ana heshima huyo

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom