Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Afu unaji contradict mara unasifu mara unaponda. Umemmiss mdogo wangu nini? Unajuta kumwacha eeh???
UMEANZA LABDA KAOGOPA ILA TUONGEE UKWELI walahi katika makabila mungu amewabariki ukiacha wachaga wa marangu basi ni hili wahaya wachache sana utakuta wana afya mgogorona tena watakuwa wanawaza mali zao zilizopo kashenye,,kaitaba nani anauza ile migomba yangu sasa hivi else..aaahh nawaheshimu ushaona kuna matwins wa epa wanavyopendeza ninachopenda wakizishika wala awaitaji uwajue yaanai utawambua kwa matendo yao ni nani uliza mahakimu wa epa nisifike huko
 
Mi ni mchaga, nimeoa mhaya. miaka kadhaa sasa tunaishi kwa amani na upendo. Usigeneralize bana pdidy...
 
Wapi Rutashubanyuma jamani njoo utuokoe wahaya wanatumaliza hawa wanyamahanga loh!!!
Kama noma na iwe noma. Binti au kijana wangu akiniletea mchumba wa kinyamahanga (asiye Mhaya) namfukuzia mbali. Kwani amepungukiwa nini mpaka atafute porini? Huo ndiyo msimamo. Sasa nauliza, kama wewe ni Mnyaturu, Mmakonde, Mgogo, Mhehe, etc. ni sifa gani uliyo nayo inayoweza kunifanya nimpite binti wa Kihaya nije kwako? Tajeni sifa zenu tulinganishe na kasoro za Wahaya.
 
Kama noma na iwe noma. Binti au kijana wangu akiniletea mchumba wa kinyamahanga (asiye Mhaya) namfukuzia mbali. Kwani amepungukiwa nini mpaka atafute porini? Huo ndiyo msimamo. Sasa nauliza, kama wewe ni Mnyaturu, Mmakonde, Mgogo, Mhehe, etc. ni sifa gani uliyo nayo inayoweza kunifanya nimpite binti wa Kihaya nije kwako? Tajeni sifa zenu tulinganishe na kasoro za Wahaya.

Mjomba Ruge hapo nakupinga kidogo, kwan kama mm nimezaliwa na kukulia mikoa mingine na sijawai kukaa Kagera zaidi ya wiki mbili sasa unategemea kweli nitakuletea mchumba wa kihaya? Hayo mambo siku hizi yamepitwa na wakati. Angalia ndoa nyingi sasa hivi dada zangu wengi wanaolewa na makabila mengine na sisi wakina kaka tunaoa makabila mengine. Lakini yote tisa nalikubali kabila langu popote pale niendapo. Salamu kwa wote wakina mama koku, kamugisha, muganyizi, rwekaza, rutashobya, rugambwa, kato, nyangoma, nyakato, kalugonzibwa, yasinta na wengine popote pale duniani.
 
Hii ni kwa wale ndugu zanguni mlio karibu kuoa wale ndugu zangu jirani zangu waliokuwa wakwe zangu wa bukoba mkoa wa Kagera sipendi muachane ndani ya ndoa ila lengo langu ni kukuaminisha uliye nae ukikosea kumtumia hakika utageuzwa kampuni ya uda yaani una uza hisa za milion 250 huku wewe una thamani ya mabilioni na mwisho unaenda kuwasumbua wale jamaa wanaovaaga makoti yao meusi na vitambaa vyeupe kule mahakamani...sasa basi hakikisha kabla haujaamua kufunga ndoa soma haya na kama unaweza andika kwenye karatasi ukikaribia jihalalishe mwenyewe kwanza usiangalie wakina shemeji ama nani wakati wa hukumu hutokuwa nao hao

1..Je huko vyema kwenye tendo la ndoa..sipendi kukuachanisha la hasha wamiliki wa kubwa wa hisa za kampuni kutokea kagera lazima moja uwe na nguvu halisia usikimbilie zile za kwenye mabango ya siolipiwa hata kodi wanaongeza nguvu za kiume na kurudisha ndoa la hasha huwa ikifika muda zinaisha na ukikuta wameshakufa wewe ndio lala salamaa sisemi umwache la hasha napenda uwe na amani milele badala ya kuishi ndoa ya mavumiliano

2.Ujitayarishe kujiamini..ndugu yangu huwa katika vipaji wanawake wa Kagera walichopewa ni kujiamini utakuta hana hata hela la hasha anavyokupeleka utahisi ndie mwekezaji mwenye hisa kuliko wote katika hili usidanganyike kuwa kimya ati nitaharibu ndoa loh akikuwahi yeye anakumaliza

3.Hakikisha umejiandaa na maisha kikweliii na si kujaribu ..zamani nikuwa nasema wenzangu wa kichaga pale wa machame ndio wakiolewa hawataaki mchezo lazima ukajenge kwao ukikomaa kakutafutia wezi wanakumalizaa njiani kwake si dili

ONYO
MAWAZO YENU VIGEZO NA MASHARTI YA PAW KUZINGA TIWA


What you have missed!!!

1) wanajua sana sex na ni mafundi balaa (you will never be dis pointed) na ufunge motor kiunoni! 24/7!!!
2) wasafi sana, wanajua kujisafisha (imagine walivyokuwa wanafanya biashara wakati ule na customers walikuwa hawalalamikii uchafu. Yangekuwa makabila mengine!!!!)
3) Uje kwenye shape sasa!

wakware, poleni sana
 
yaani nmaanza kujidharaulisha hapahapa jf.yaani nyie katerero ndo inawaumiza kichwa?wale dawa yao ni katerero tu.sasa wewe hata katerero inakushinda?naomba muongozo wa tusker bariiidi na s.ivuga.mia
 
Ukioa mwanamke wa kihaya ujiandae kupata mafanikio tu!
Kwanza wana adabu, wanajua kutafuta pesa , ni wavumilivu na mengine mengi mazuri !
Kila kabila halikosi malimbukeni mfano:
Warangi sifa zao zinajulikana .....
Wamachame zao tunazihifadhi...
Wanyakyusa ndo usiseme.....

Nani msafi kuliko mwingine
 
Mjomba Ruge hapo nakupinga kidogo, kwan kama mm nimezaliwa na kukulia mikoa mingine na sijawai kukaa Kagera zaidi ya wiki mbili sasa unategemea kweli nitakuletea mchumba wa kihaya? Hayo mambo siku hizi yamepitwa na wakati. Angalia ndoa nyingi sasa hivi dada zangu wengi wanaolewa na makabila mengine na sisi wakina kaka tunaoa makabila mengine. Lakini yote tisa nalikubali kabila langu popote pale niendapo. Salamu kwa wote wakina mama koku, kamugisha, muganyizi, rwekaza, rutashobya, rugambwa, kato, nyangoma, nyakato, kalugonzibwa, yasinta na wengine popote pale duniani.
Kama unaoa na mke wako akikutambulisha kwa hao wanaojiona wamekamilika sana wanaguna!!!!!!! (sijui kwa nini?) kwa nini usile nyumbani kwenu badala ya ugenini? Mimi ni proud kuwa Mhaya, na mabinti na vijana zetu wako safi, na sina lolote la kutamani kwingine.
 
Sifa nyingine ya hili kabila ni hii hapa:
- Wanapenda kung'ang'ania kitu hasa ardhi hata kama anajua kabisa siyo pake.
Kwa sababu waliijua thamani ya ardhi mapema sana wakati nyie wengine mlikuwa mnadhani ardhi ni malisho ya ng'ombe za kila mtu. Uliza kama Nyerere na vijiji vyake vya ujamaa alithubutu kuvijaribu Kagera.
 
SASA NA WEWE KISUKARI UNAGEUZA MADA, Tunaongelea akina dada wa kihaya na siio kaka zao. Dada zao ndiko watu wanataka ushauri kuwekeza huko, unasemaje?
Kwa kale kamchezo jamani wamejaliwa maana hata mimi almanusura niwekeze maana kila nilipohitaji nilipewa na alinipa kwa uhakika, alininipenda mazingira ya wakati huo hakukuwa na simu za viganjani mpaka uende ufoleni posta wakoroge ndipo upate mawasiliano, hivyo nilipotezana na kipenzi changu tukaja kutana baada ya miaka 23 tukiwa watu wazima sana na kila mtu tayari ana mji wake. Else mambo mengine singeangalia mimi nilikuwa naye sambamba
 
Mnyonge mnyongeni lakini sifa na haki zake mpeni pia. Imependeza eehee!!!!!!!!!
 
Pididy umetoa maoni yako...lakini sio sahihi kila ulichokisema.Msimamo wangu ni huu:hakuna kabila baya....kila kabila lina watu wazuri na wabaya pia...wapo wahaya wazuri mno...na katika swala la mahusiano hasa ya kudumu mfn ndoa..huwa tunasahau kuwa jinsi ulivyompata mchumba awe mume au mke...aina ya maisha mliyoishi kabla hamjaamua...huwa yana determine future ya huo uhusiano!

wahaya ni wanawake wazuri sana....tatizo ni pale linapokuja swala la maisha mazuri....wanahitaji maisha mazuri kwa sababu walio wengi walizaliwa na kukulia katika maisha yasiyo na taabu!...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom