Kuoa mwanamke wa kihaya ujiandae kikweliiiiiiiii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuoa mwanamke wa kihaya ujiandae kikweliiiiiiiii!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,330
  Likes Received: 3,222
  Trophy Points: 280
  Topic closed
  any incovinience coused is highly regreted
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,330
  Likes Received: 3,222
  Trophy Points: 280
  Na baada ya ndoa wanaanza kufurahia maisha tofauti ya wahaya kwao kuua ni mwiko watahakikisha wamekuweka sawa na si hapo tu usishangae unafanye repar nyumba za mashangazi wajomba kila mwaka kama serikali yetu ...

  4..Kiburi
  Wengi wamekuwa na kiburi sana na kwa kukupa onyo wengi wemishia kuwasaliti wenzao wao kwenye ndoa pale wanapohitaji kitu na kushindwa kufanikiwa sipendi kukuona mahakamani kila siku kwa ajili ya talaka ama kwenda segerea ukaishia kuangalia idadi za ndege la hasha naomba jiandae

  Mungu akupe ufahamu kabla ya kuoa mwombe ndoa zenu mungu awaonyeshe kabla msije ingia kwenye guinness book za waliochana ndani ya wiki mbili
   
 3. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe kwa 100%...wana sifa nyingine nadhani hujaziweka kwa sababu za kimaadili,ila ni kabila ambalo sishauri mtu akawekeze kabisa..
   
 4. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Angalizo:kaka zao ndo balaa zaidi,ntakuja na sifa zao baadae..
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dah!!!!!
   
 6. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,274
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Mbona mnanitisha mimi natagemea kuoa huko Mungu akipenda!
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Heheeeeeee we Pdidy kuna unachotafuta shauri yako.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  ==>naendelea kufikiri==>!
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,138
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Mimi ni wa kagera na woote home tumeolewa na wanyamahanga (makabila mengine) na hamna aloachika. Mtapanga sana foleni. Mnajua mnachofuata.


   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,253
  Trophy Points: 280
  you dont sound like mhaya nk
  kagera wa wapi?mnyambo??????
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,138
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Umejuaje the Boss. Na kwa maandishi huwezi jua kabila la mtu.
   
 12. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  mnashida gani na wahaya??
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,253
  Trophy Points: 280
  wahaya so far wana reputation fulani...
  Na wewe kwa maandishi yako unaonekana uko against hiyo reputation
  so siamini kama wewe mhaya.are u?
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tujuze basi nini hicho au kat***lo kama ni hicho mmh!
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,138
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Waulize hao walooa watoe ushuuda nikisema mimi mtasema nawadanganya au najisifia.
   
 16. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  mbona unachelewa si utaje tu embu nianze nahizi
  1.wanapenda elimu aka wamesoma kuliko mabinti

  2.kukupasua kwenye dili chafu aijalishi unaelekea singida ama kinondoni cementry hilo wajali

  3..hii kimaadili sipendi kwenda sana ila inafanana na waliokuwa nayo dada zao-hme wrk

  4.aisee dharau mbaya..yaani ukikuta hana kitu unaweza ukajua mmliki wa bakheresa aisee

  5.wanajipenda sana kwa hili nawapongeza na ndilo linasiaidia sana kufanikiwa katika sifa ya namba tatu ..

  6.wako chyming sana sana lakini usipokuwa makini furaha yao inaweza kukueletea machozi ya milele kwako

  endele ende;eelee endeleeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,138
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  P Didy ushamuona msichana wa kihaya kadoda??
   
 18. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  chauro MPE AITAFUNE A
   
 19. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  UMEANZA LABDA KAOGOPA ILA TUONGEE UKWELI walahi katika makabila mungu amewabariki ukiacha wachaga wa marangu basi ni hili wahaya wachache sana utakuta wana afya mgogorona tena watakuwa wanawaza mali zao zilizopo kashenye,,kaitaba nani anauza ile migomba yangu sasa hivi else..aaahh nawaheshimu ushaona kuna matwins wa epa wanavyopendeza ninachopenda wakizishika wala awaitaji uwajue yaanai utawambua kwa matendo yao ni nani uliza mahakimu wa epa nisifike huko
   
 20. k

  kisukari JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,568
  Likes Received: 803
  Trophy Points: 280
  dada mmoja,namfahamu ameolewa na muhaya,huyo muhaya hana tabu yoyote ile,ila watu wakimuuliza umeolewa na kabila gani,akisema muhaya,watu wanaguna.huyo dada yeye ni mtu wa morogoro
   
Loading...