kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 125
- 8
maana yake ni nini?
Ni tendo la ndoa....:tape:
maana yake ni nini?
Maana yake ni ndoa...!"Kuoa na kuolewa" maana yake ni nini?
duuhh ntakuwa nafuatilia hii thread kwasababu hata mi sijui jibu....
thanx XP.... hapo umenena..
hahaha hiyo avatar ndo mother Xmass?moi as well