Kunywa Maji ya uvuguvugu yenye chumvi huondoa sumu mwilini

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,684
2,000
Ni maji yenye limao tena uyanywe b4 sunrise muda ule jogoo zinawika mkuu. Inauweka miwili wako katika alkaline media ambayo sipo conducive environment kwa growth and prosperous ya magonjwa mengi sana ambayo yanakuwa yanahitaji acidic media as their favourable conditions to grow and develop in our bodies.
Ili wana prohibit sana mana hata MIE ningekuwa na mradi Wa kuuza radiotherapy za chemotherapy za kansa. Mana najinerate billions of USD ningeshirikiana na mamlaka husika tuzipige vita.
Lazima binadamu awe mtumwa kwa wengine. Afanye kazi alipe kodi na atumikishwe kununua madawa ,chemicals etc ambazo ni project za elite societies duniani
 

AbouZakariya

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,186
2,000
Nimefanya majaribio mwenyewe asubuhi tu nikiamka kabla sijafanya mazoezi nachemsha Maji naweka chumvi kijiko kimoja Na limau.baada ya lisaa limoja utaenda toilet kutoa uchafu.
MziziMkavu uje utie neno kuhusu hii njia ya kuondoa sumu tunazokula

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa somo mkuu, ila hayo maji yanayowekwa hicho kijiko cha chumvi ni maji ya ujazo gani mkui ndege na kijiko hicho ni kidogo au kikubwa au?.
Mkuu ndege unapoleta elimu kama hii usiwe na haraka kuwa mpole na mtulivu ili tupate vitu adhwim.
 

The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,036
2,000
Sio maji ya Uvuguvugu + Chumvi tu ? Hiyo tu haitoshi? Mnatuchanganya sana mnaposema tuweke chumvi ilhali chumvi ni tatizo kwa afya.
 

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,684
2,000
Hili la chumvi sijui hata Kama nikijua sikubaliani nalo labda chumvi ya baharini.
Ishu kubwa ni maji ya uvuguvugu jumlisha na limao Kama pia una uwezekano wa kuipata asali itiemo kijiko kimoja kwa maji mengi hata angalau Lita mzima ivi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom