Kunywa maji, ni muhimu kwa mwili wako!

Good Message! lakini usishangae hii sredi ikakosa kufika hata page 2! Yaani JF zile sredi muhimu ndio zinakosa michango. Sredi likiongelea tigo ndio utaona linatelea balaa!. Mungu atakulipia bana!
Kama jina lako,ujumbe wako dawa,kweli mkuu umenena!
 
kuna kamtihani kidogo; unaweza kunywa maji mengi wakati huna kiu? mambo sasa ni ya kizungu nyumbani kuna friji kubwaaaa unapata maji baridi nusu kikombe tu yanakata kiu yako yote
 
Ushauri mzuri. Tuendelee kukumbushana kuweka miili yetu fit ili tuwe ngangari kuyachoma magamba siyo kuyavua. CDM JUU
 
Maji imenisaidie sana, nilikuwa sina hamu ya kula baada ya kupata dozi ya maji ya lita 1.5 kwa siku nimeongeza bajeti ya chakula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom