snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,407
- 1,110
Habari,
kuna wenzangu flani wanadai kwa kunywa distilled water for a day bila kula kitu chochote,unafanya detoxification katika mwili,na kwa ujuzi wangu mdogo najua kwamba distilled water haina nutrients zozote.je ni salama kufanya treatment hii,kuna uhalali wowote wa hii kitu?kwa wale mnaofahamu.
na kuna njia nyingine nimesikia(ni tetesi) ya kufanya detox,nimeisikia,eti unaweka miguu kwenye maji na inanyonya all poisons from your body,je ni chemicals gani wanatumia kwenye hayo maji?na je ni safe au ni ujanja ujanja tu?