Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

Nilienda kibosho kipindi flni nikatoa ofa ya bia kwa vibibi kama 9 hivi..walinitemea mate siku hyo hd ikabidi nikabadili nguo na kuoga kabisa..
Hizo ndio baraka wanakupa
Hahaha yani mate ndio baraka?

Aisee hao wazee wajitafakari wawe wanafanya hivyo kwa wenyeji kwa siye wageni inaweza ikaleta taharuki kidogo
 
Tunazalisha taifa LA walevi na wavuta bangi, Mama mjamzito hapaswi kutumia vileo kwa afya nzuri na imara ya mtoto alie tumboni.
Kama maziwa hayatoki kuna njia sahihi kama mbegu za maboga ambazo zimethibitishwa kitaalam na matumizi ya Supu ya nyama nk.
 
Back
Top Bottom