Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

hehehehe...tutegemee mwingine lini Mrs?

ndio nilikuwa nataka tuongee kuhusu kuufunga game sasa, tuendelee kula bata tu, wako wa ujanani na wetu 2, so ni watatu wanatutosha nahic....au unasemaje mr wangu?
 
ndio nilikuwa nataka tuongee kuhusu kuufunga game sasa, tuendelee kula bata tu, wako wa ujanani na wetu 2, so ni watatu wanatutosha nahic....au unasemaje mr wangu?

Basi tujipange tutafute hako ka pili fasta ili tukianza kula bata iwe hadi mwisho mrs, ngoja nianze dozi ya matikiti maji......mwezi ujao honeymoon tena....
 
Safi kabisa. Yaani mtoto awe analia njaa eti ni mpaka ufike nyumbani au mahali pa faragha halafu umpe nyonyo yake??? Mpe hata kama ni stand ya basi!!! Mbona watu wazima unakumbana nao wanakula hadharani tena mahindi ya kuchoma barabarani?? Mtoto anastahili ila kama ni jitu zima linanyonya titi la mwanamke hadharani hiyo ni story nyingine. Let us leave nature to take its course!! Tumeikuta hii culture toka kwa mabibi zetu na haikuwa na harm yoyote!!!
 
Well kwangu mimi najaribu kuangalia umuhimu kati ya ziwa lamama kuwa nje au mtoto kupata mlo wake kwa wakati ule, kama hakuna ulazima wa mtoto kunyonya kwa wakati huo ambao wewe uko kwenye maeneo ya wazi basi si vyema kujianika, ila kama kweli mtoto analia anataka kunyonya basi apewe ni haki yake ila ni vyema pia kujaribu kadri mama awezavyo kujisitiri, kwasababu naamini wakati ule ni muhimu sana kati ya mama na mtoto na unatakiwa u-relax, uwe comfortable ,uwe proud kwa kuwa Mwenyezimungu kakupa upendeleo wa kipekee wa kushika mimba na kupata huyo mtoto kama zawadi na pia kukupa uwezo wa kumnyonyesha mwanao bila ya tatizo lolote Coz not every woman has that opportunity. wangu alikataa kunyonya after two months nilijaribu kila njia lakini ikashindikana en he was my first born iliniuma sana nikawa nalia coz my dream was to breastfeed him mpaka miaka miwili kamili.

Ooh pole sana watoto wa siku izi sijui na wenyewe mimba zinatungwa kwa kompyuta manake wengi wanagoma kunyonya wakiwa bado wadogo eti wanataka ugali,, sijui ni nini manake zamani haikuwa hivi. Sikumbuki kama nilinyonya hadi umri gani ngoja nimuulize bibi!
 
Asante Kaizer, yaaani weee acha tu hawa watoto hawatabiriki basi nikikuta mama anakataa kunyonyesha mtoto wake eti kisa maziwa yataanguka huwa nasikia uchungu kama nimzabe vibao vileeee, lakini mwisho wa siku kila mtu ana haki na maamuzi yake katika maisha yake.
ila kwa mtazamo wangu weweeee utakuwa umenyonya hadi miaka mitano unaenda kucheza mpira kisha unakuja kumvua blauzi mama nataka kunyonya mamaa wakati mtoto mwenyewe ana meno 28 hahahhahahah
 
hehehe tobaaa kama ivo ningekuwa nadeka sana basi! lol
 
hehehe tobaaa kama ivo ningekuwa nadeka sana basi! lol
sina uhakika kama hudeki , ngoja hilo nimuulize shost nyamayao maana inawezaka unadeka kuliko hata hao watoto, ushaona baba analilia kubebwa wakati mtoto amekaa kwenye sofa?
 
Asante Kaizer, yaaani weee acha tu hawa watoto hawatabiriki basi nikikuta mama anakataa kunyonyesha mtoto wake eti kisa maziwa yataanguka huwa nasikia uchungu kama nimzabe vibao vileeee, lakini mwisho wa siku kila mtu ana haki na maamuzi yake katika maisha yake.
ila kwa mtazamo wangu weweeee utakuwa umenyonya hadi miaka mitano unaenda kucheza mpira kisha unakuja kumvua blauzi mama nataka kunyonya mamaa wakati mtoto mwenyewe ana meno 28 hahahhahahah

Siyo hivyo tu, anakuleta na kiti/kigoda au mkeka kabisa ukae. Halafu anakamatisha ugali kama kawaida!
 
sina uhakika kama hudeki , ngoja hilo nimuulize shost nyamayao maana inawezaka unadeka kuliko hata hao watoto, ushaona baba analilia kubebwa wakati mtoto amekaa kwenye sofa?

LOL mrs wangu nyamayao hana neno ila ndo ujue lake langu,, lakini pia na wewe si unadekeza kidogo kidogo ama? sema dogo aligoma tu mwanzoni !
 
Thanks for this initiative.

Hapo ndipo wabongo imeshindikana kabisa kuiga. Tuko radhi kuiga vichupi wazungu wanavyovaa ufukweni nasie twavaa maofisini na wengine hata makanisani na misikitini, na kuacha migongo wazi kumbe wenzetu wazungu wanakuwa commanded na mazingira yao na wala sio kwa kutaka. SI unaona mtu avaa vipande vitatu vya suti na tai kali DSM ndani ya daladala?

Nchi nyingine za wazungu wamejenga maeneo rasmi ambako mama akitaka kunyonyesha anaenda kulw anawakuta wenzake wananyonyesha pia. Lakini ukifumwa unanyonyesha hadharani unayo kesi ya kujibu.

Sasa wabongo kwa kuwa kuona nyonyo ni dawa ya akili, especially kama nyonyo yenyewe ikiwa bado haijambo, ni ruksa tu kuanika hadharani hata kwa kisingizio cha kunyonyesha. Nchi nyingine ziwa waruhusiwa kuliona lakini chuchu marufuku mpaka kibali maalum cha mwenye chuchu. Wahindi tumbo ni ruksa kuliona, linaanikwa peupeee, mali ya serikali. Wabantu tatizo lao liko kwenye makalio na mapaja, ndio maana dawa za kuongeza makalio zinakuja kirahisi kwetu na tena mashindano ya Miss Bantu yapo ambayo sifa mojawapo ni nyonyo kubwa na makalio makubwa.

Sasa Kama tunadhani sio vibaya leo kunyonyesha hadharani, basi Halmashauri zijenge majumba ambako kina mama wataenda kunyonyeshea. Sie wengine tumekulia katika mtindo wa mambo hadharani, sio sambi. Kwa kuwa tumeona wazungu wanasema sambi ndio nasi tuanze wimbo wa sambi?

Tuache hayo, watu wanapiga kelele ati nguo fupi zinawashawishi, kwani walazimishwa kuangalia? Mtoto anapolia anatulizwa kwa nyonyo. Sasa wataka aendelee kulia na tiba ingalipo? Wengine kina mama sio tu hawataki kunyonyesha hadharani, bali hawataki kabisa kunyonyesha eti kwa sababu yatarefuka na wao watapoteza mvuto, kwani wameshaona kwamba wanaume wa kiafrika akili yao iko kwenye vifua mviringo. Sasa wameanza na makalio kuyavimbisha, hata wengine wanavimba kalio moja na lingine nusunusu, wanahangaika mahospitalini sasa.

We want natural beauty, nothing less, nothing more. Nyonyesha basi ili mwanangu akilia atulie nami roho yangu ifarijike. Taabu ni kwamba tunatangulia kuzeeka akili kabla ya mwili.

Ibra
 
LOL mrs wangu nyamayao hana neno ila ndo ujue lake langu,, lakini pia na wewe si unadekeza kidogo kidogo ama? sema dogo aligoma tu mwanzoni !
mhhhh nadekeza lakini mapenzi ya albdiri siyawezi kuacha mwana na kubeba mume
 
sina uhakika kama hudeki , ngoja hilo nimuulize shost nyamayao maana inawezaka unadeka kuliko hata hao watoto, ushaona baba analilia kubebwa wakati mtoto amekaa kwenye sofa?

ulijuaje agika....mana anadeka kuliko hata ka last born ketu.....lol
 
ulijuaje agika....mana anadeka kuliko hata ka last born ketu.....lol

Ndo raha yenyewe hiyo mrs, si umenifundisha mwenyewe eti madai ndo mlivofundwa,, sasa wacha tule bata tu ila mi sisemi kama wadeka pia, lol:D
 
Heck...kama mtoto anahitaji kula basi apewe mlo. Hakuna sababu ya msingi ya kumkalisha njaa kisa uko hadharani.
 
Why is it a mistake? A mother cant simply feed her child because she is in public! What is it to hide? Where is the offense? Who is questioning it?
 
Kimtazamo wangu naona hii haina shida ukizingatia chakula kwa mtoto ni muhimu kila asikiapo njaa na pia njaa ujitokeza muda wowote tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom