Kunyanyasika kwangu mie unlucky hili sio jina langu natumia tu

mimi na miaka 29 na watoto wa kwanza wapo na mama watatu na wawili wapo hapa kwangu naishi nao wakubwa miaka 16 na huko kwao anao mke wa kwanza wakike 3 kawatekeleza na mke wa huko pia kashamwacha hana uhusiano nae lakini talaka hajampa huyu jamaa ni foregner si mtanzania na kuhusu watoto hawa amesema kamwe huwapati watalelewa

hivi huyo mgeni ndo anakusumbua namna hii?/ wewe mahakama huzijui? au ulisha kwenda wakakusumbua?
ushauri
omba talaka akisumbua mshataki mahakamani na utapata uhalali wa kisheria wa kuondoka hapo. unaondoka na watoto wako. utaweza tu kuwalea, hata kama ni kwa taabu , hawata kufa. wataishi
 
Unlucky nakupa pole kwa yaliyokukuta ila naomba niwe muwazi na wewe.

Kwanza unalalamika kupitiliza.Kitu ambacho kinakuzuia kusonga mbele.Yani unajiona sijui unajifanya mnyonge kiasi kwamba akili yako imekubali kwamba unayopata kwa huyo mume ni sawa yako. Unashibdwa hata kuona kwamba historia ya huyo jamaa inajirudia maana ushataja ametekeleza watoto sijui wangapi tayari, alafu bado unasema kwamba atakunyang'anya wakwako.Kwasababu?Unadhani kama hao wengine.aliwatekeleza hao wakwako ambao bado ni wadago atawataka ili iweje? Hiyo ni gia ya kukichezea akili kwasababu ameshajua huna ujanja mbele yake. Kwamba hata akikwambia ondoka nyumbani kwangu utapiga magoti na kumlilia.
Pili hujielewi.Umeshalalamika hapa JF mara ngapi mpaka leo hii?Ni zaidi ya mara mbili. . . mara zote umeomba ushauri ukapewa ila hujawahi kufuata bali unarudi na thread mpya iliyojaa visingizio vya kwanini ushauri wa last time haukuuzingatia. Yani wewe shida yako sio ushauri bali ni kupewa pole na kuonewa huruma. Naomba niseme kwamba baada ya kukisoma mara zote (nilikuonea huruma mara ya kwanza) sikuonei huruma bali nawaonea huruma wanao kwa kuwalazimisha kuishi kwenye mazingira mnayoishi.

Tatu, hujiamini.
Kila mara unagusia swala la mali mlizochuma pamoja na kwamba kama sio wewe asibgafanikiwa ila linapokuja swala la wewe kuondoka unaanza kulalamika kwamba huna pakwebda wala lakufanya.Kama uliweza kumsaidia yeye akafanikiwa nini kinakuzuia kujifanikisha mwenyewe? Hujasoma utafuye hata kazi?Huna hata kaakiba/huwezi kukopa/omba kwa ndugu na marafiki zako ufanye hata kabiashara? Acha kujilemaza hapo na machozi yasiyokusaidia chochote kika siku.

Mwanaume ameshakwambia hakutaki, mwili wake ameufanya wa maonyesha na watoto hajali hivyo ondoka. Nenda hata ukakae kwa wazee wako wakati unatafuta namna ya kujiendeleza na kulea watoto wako kwa amani.Acha kulia lia na kulalanika kana kwamba umefungwa na mnyororo.
 
Hayo ni maneno,kelele hizo zisikuzuie kuvuka mto?yeye ni mcongo au?Wewe bwana hebu funga huo ukurasa,maisha yenyewe mafupi.ETI HELA,HELA GANI ASIKUTISHE HUYO
 
Unlucky hebu pitia thread yako ya nyuma uliyoleta ushauriwe kuhusu suala hili hili. Majibu yote ulipewa humo, hebu yafanyie kazi.
 
Bado hujaondoka! Kweli unapenda tabu! Unazungumzia habari ya mali mlizochuma,badala ya kuangali tabu upatazo na utajikwamua vp au umefungwa na mnyororo? Maisha popote bana,yeye si mzururaji,fungasha na wanao akija asikukute. Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake!
 
nimechoka kusoma siredi zako kwakweli................hii kitu si ulishaileta hapa????ama ushauri haukuufanyia kazi
 
najua na makosa ya kumwachia na kumsamehe matendo yake tangia mwanzo sasa yamenizidia na watoto nilishamwambia nitagombania court akasema nenda mie na nguvu ya pesa nitashinda mimi na wewe ndo utapelekeshwa na hao hao wenye mahakama mie na wakubwa nitawapa rushwa mie nitawanunua hao hao watanzania wenzako na mpaka leo sina chochote hata akiba coz mpaka leo hii hajanipa chochote wala nyumba hajanunua mie sitaki mali yake mungu atanijalia ila anataka anisumbue anasema nyie watanzania tunakuendesheni sisi forgner hamna akili nyinyi malaya wote wanawake wa hapa dah

There you go again.
Yani kazi yako ni kulalamika tu.Sasa kama huna mpango wa kuondoka kwasababu hajakupa kitu unataka sisi tukusaidiaje??Kama anakutukana na kukudharau ila hauko tayari kuondoka unataka sisi tukusaidiaje??

Huruma unayoitaka hata tukikupa debe hapa JF haitokusaidia kwa namna yoyote ile.Amua kuchukua hatua au uendelee kuishi nae ila uache kulalamika.
 
najua na makosa ya kumwachia na kumsamehe matendo yake tangia mwanzo sasa yamenizidia na watoto nilishamwambia nitagombania court akasema nenda mie na nguvu ya pesa nitashinda mimi na wewe ndo utapelekeshwa na hao hao wenye mahakama mie na wakubwa nitawapa rushwa mie nitawanunua hao hao watanzania wenzako na mpaka leo sina chochote hata akiba coz mpaka leo hii hajanipa chochote wala nyumba hajanunua mie sitaki mali yake mungu atanijalia ila anataka anisumbue anasema nyie watanzania tunakuendesheni sisi forgner hamna akili nyinyi malaya wote wanawake wa hapa dah

ushauri wa bure kuua mtu anae kuua sio dhambi nenda pale upanga duka la silaha nunua zako bastola mmiminie risasi risasi nane tano za mke wa kwanza na tatu za kwako..
jumapili njema..unlucky
 
ha ha kweli jamani mie nishaamua sitaki tena kuishi nae na kwa sasa namsubiri aje ndo nimtel live nikiwa na familia yangu kwamba mie basi ndo niondoke asanteni
Unamsubiri wa kazi gani?Ili kesho urudi kusena alikuzuia?

Kama umeamua kuondoka beba kilicho chako (including watoto) uondoke.Akirudi akute mlishaondoka, hapo ndio atajua kweli unamaanisha. Zaidi ya hapo ni kama hutaki mabadiliko yoyote.
 
Aondoke yeye wewe baki hapo na wanao, kashitaki polisi huyo afunzwe adabu
 
ha ha kweli jamani mie nishaamua sitaki tena kuishi nae na kwa sasa namsubiri aje ndo nimtel live nikiwa na familia yangu kwamba mie basi ndo niondoke asanteni
hata mimi nilitendwa sn na mume wangu tuliyeanza maisha kwa shida sn nilipoona dharau na manyanyaso yanazini nilipaki mizigo yng pmj na mwanangu nakasepa na kumwachia majumba na magari sasa wewe unaangalia mali zaid kuliko uhai wako na watoto, hebu badilika elewa siku zote HASARA NI ROHO PESA ni MAKARATASI utadai haki mbele kwa mbele.
 
Mume wako alikuwa hapa jamvini siku chache zilizopita (sijui kama uliiona thread aliyoianzisha) na alisema yote aliyoyatenda pamoja ndugu zake katika kukunyanyasa na sasa anajuta kwa yote aliyokutendea, alianzisha hiyo thread ili kuuomba umma wa JF umuombee samahani kwako ili mrudiane.
 
hapana mie sitaki mali yake nitamwachia kila kitu yani namsubiri mfano anarudi kesho mie naondoka leo ili akija aone hamna mtu basi na wala sitagombania mbele kwa mbele nitamwachia tu mungu atampa adhabu yake

Bado tu hujaondoka??
 
Unangoja nini kwa huyo mwanamume?????? Ukimwi??????

Angalia mbele, fikiria na kupanga maisha yako utakavyoyaendesha. Ondoka hapo fastaaaaaa
 
Back
Top Bottom